Amour Said Zaid

Amour Said Zaid

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Amour Said Zaid, Dar es Salaam.

Karibu kwa Habari za Hivi Punde, Pia Tunadizaini Logo/Nembo, Stika, Tunaedit Picha & Video, Kutengeneza Vitambulisho, Kuseti Akaunti za Mitandao ya Kijamii, N.K

05/08/2026

๐Ÿ‘‰๐ŸผUnataka Kuwa Msafi Bila Kuoga? Maelekezo ya CHATGPT๐Ÿ˜„๐Ÿ™Œ๐Ÿผ


๐Ÿ’™

04/08/2026

๐Ÿ‘‰๐ŸผIla Kumtegemea CHATGPT๐Ÿ˜„๐Ÿ™Œ๐Ÿผ


๐Ÿ’™

31/07/2026

๐Ÿ‘‰๐ŸผJe, Biashara Yako haihitaji kutangazwa Kisasa zaidi? Karibu Az Designings tupandishe hadhi Biashara yako kwa Matangazo Bora zaidi ya Kisasa๐Ÿ”ฅ.


30/07/2026

๐Ÿฅด


ใ‚šviralใ‚ท

04/06/2026

๐ŸšจUSIKIMBILIE KUTAKA KULIPWA FACEBOOK KABLA YA KUJUA HILI! ๐Ÿ‘‰๐ŸผUmekuwa ukihangaika kupost kila siku lakini dashboard yako bado inasoma sifuri? Shida sio Facebook, shida inaweza ikawa ni makosa makubwa matatu (3) unayofanya kwenye settings, mada, au hadhira yako bila wewe kujua.
Kwenye video hii, nimevunja ukweli wote uliokuwa huujui!๐Ÿคซ

๐Ÿ‘‡Swali kwako: Umeshafikia vigezo gani hadi sasa kwenye akaunti yako? Weka comment yako hapo chini, na k**a uko tayari kwa video inayofuata Andika neno "NIPO TAYARI". Nataka Tukuze Akaunti Zetu Pamoja Kuanzia Sasa...

04/06/2026

๐Ÿš€ Kuna kitu kikubwa kinakuja! UPO TAYARIโ‰๏ธ
๐Ÿ‘‰๐ŸผIko Hiviii, Kwa muda mrefu nimekuwa nikijifunza na kufanya kazi na mitandao ya kijamii kupitia Page Mbalimbali, hasa Facebook.

๐Ÿ‘‰๐ŸผKuna Watu wanatumia Facebook kwa Bando zao bila Kuingiza Chochote na Kuna Wanaotumia Facebook kujipatia kipato cha Juu zaidi. Yaani Kila unachopost kikuingizie pesa,

Kuanzia sasa, nitaanza kukupa mbinu, siri na maarifa kuanzia mwanzo kabisa yatakayokusaidia kuelewa:

โœ… Jinsi ya Kutumia Facebook kuingiza kipato cha Ziada,
โœ… Mbinu za Kufanya Uanze Kulipwa Facebook
โœ… Jinsi ya kutengeneza Content inayovutia
โœ… Makosa 3 yanayoua page /Account yako.
โœ… Faida za Comments na Likes
โœ… Kwanini Baadhi ya Post zinapata Likes na Comments nyingi na Nyingine zinapata kidogo sana,
โœ… Ni Muda gani mzuri wa Kupost Facebook
โœ… Na Mengine mengi...๐ŸŽ‰

๐ŸšจKama unataka kuanza Kujifunza hayo na Mengineyo Mengi, kuanzia sasa hakikisha unakaa karibu na ukurasa huu kwa KuFollow, Kisha andika "๐—ก๐—œ๐—ฃ๐—ข ๐—ง๐—”๐—ฌ๐—”๐—ฅ๐—œ" kwenye comments k**a upo tayari kujifunza. ๐Ÿ‘‡

13/08/2025

๐—›๐—”๐—ฉ๐—จ๐— ๐—œ ๐—ž๐—œ๐—ฃ๐—œ๐—ก๐——๐—œ ๐—–๐—›๐—” ๐—จ๐—ฆ๐—”๐—๐—œ๐—Ÿ๐—œ, ๐—ฆ๐—จ๐—•๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐—Ÿ๐—œ๐—š๐—œ ๐—œ๐—”๐—ก๐—ญ๐—˜: โฉKipindi Hiki cha Usajili Akikosekana Mchezaji ambaye Wanalunyasi wanamtaka Analaumiwa Tajiri, Akipatikana Mchezaji wa Maana Anapewa Heko Tajiri, Ila Ligi Ikianza na Usajili ukawa Haujalipa, lawama anatupiwa Mzee Mangungu Mwenyekiti wa Timu, Nyieee๐Ÿƒ๐Ÿผ๐Ÿคฃ

FOLLOW๐Ÿ‘‰๐Ÿพ
FOLLOW๐Ÿ‘‰๐Ÿพ
FOLLOW๐Ÿ‘‰๐Ÿพ






07/08/2025

โฉTimu ya Wananchi Yanga imesaini mkataba wa udhamini na Kampuni ya Haier wenye thamani ya Tshs Bilioni 3.3 kwa mkataba wa miaka mitatu ambapo Logo ya Haier itakaa kwenye mkono wa jezi upande wa kushoto.

FOLLOW๐Ÿ‘‰๐Ÿพ
FOLLOW๐Ÿ‘‰๐Ÿพ
FOLLOW๐Ÿ‘‰๐Ÿพ






06/08/2025

โฉKwa Upande wako, Mchezaji gani amekuwa Nyota wa Mchezo Leo Tanzania dhidi ya Mauritaniaโ‰๏ธโšฝ๐Ÿ”ฅ

FOLLOW๐Ÿ‘‰๐Ÿพ
FOLLOW๐Ÿ‘‰๐Ÿพ
FOLLOW๐Ÿ‘‰๐Ÿพ






06/08/2025

๐™…๐™Š๐˜ฝ ๐™‰๐˜ฟ๐™๐™‚๐˜ผ๐™„ ๐˜ผ๐™ˆ๐™€๐™๐˜ผ๐™๐™„๐™†๐™„ ๐˜ฟ๐™๐™‰๐™„๐˜ผ: โฉSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson (Mb) anasikitika kutangaza kifo cha Spika Mstaafu na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa Mheshimiwa Job Yustino Ndugai, kilichotokea leo tarehe 06 Agosti, 2025 Jijini Dodoma.

๐Ÿ—ฃ๏ธ"Kwa masikitiko makubwa, naomba kutoa taarifa ya kifo cha kiongozi wetu, mwanasiasa mkongwe na Spika Mstaafu wa Bunge Mheshimiwa Job Yustino Ndugai kilichotokea leo jijini Dodoma.

โ€œNatoa pole kwa familia ya Marehemu, ndugu, jamaa na VWananchi wa Jimbo la Kongwa, Mwenyezi Mungu awape moyo wa uvumilivu na subira katika kipindi hiki kigumu." -Amesema Dr.Tulia.

FOLLOW๐Ÿ‘‰๐Ÿพ
FOLLOW๐Ÿ‘‰๐Ÿพ
FOLLOW๐Ÿ‘‰๐Ÿพ






Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam