30/09/2021
https://youtube.com/shorts/X7DufsfluVg?feature=share
FUMANIZI LA MWAKA MBAGALA |MAUNO YA UZAZI USPIME | AVULIWA NGUO HADHARANI
Ukurasa wa michezo na burudani
30/09/2021
https://youtube.com/shorts/X7DufsfluVg?feature=share
FUMANIZI LA MWAKA MBAGALA |MAUNO YA UZAZI USPIME | AVULIWA NGUO HADHARANI
30/09/2021
DAKIKA TANO ZA MSITU WA AMAZON |MAJOKA YA AJABU WATALII WAZIMIA cheki watalii walivyozimia baada ya kuona manyoka ya msitu wa amazoni hii ni zaidi ya the story book ya wasafi | jamari april hampati mtiga abdallah
30/09/2021
KIONJO NGOMA MPYA YA #IBRAH USPIME #MACVOICE HAONI NDANI. Ngoma mpya ya imrmfunika msanii mpya wa music | amefanya balaa kwenye video aigiza k**a doctor | karudi ras...
19/04/2021
Huu sio mwili wangu Yanga wamenikondesha sana- Dullah Makabila
Neno moja kwake
18/04/2021
Anasema Tumpe salamu Dube
Imekuwa ni vita ya Bocco , Kagere , Dube na Idd Nado Nyota wanne kutokea Simba Na Azam katika vita ya kuwania tuzo ya mfungaji bora.
Ikumbukwe Kagere amekuaa mfungaji wa VPL mfululizo je Atatwaa tena msimu huu..?
Dube naye amekuja na style ya kipekee kila mtu ashinde mechi zake..π
All in All Bocco ndo mfungaji wa mda wote wa VPL
Karata yako unaitupa kwa nani katika hii vita
15/04/2021
Mechi 3 za Yanga mwezi huu kabla ya kukutana na Simba.
Unahisi Wanainchi wataendelea kuwa na Bundi au Gari litawaka Mara tarehe17/4 ?
15/04/2021
kitaalam tunaitaje π
Fraga Atarejea Muda wowote msimbazi na Simba Tayari ina Lwanga unahisi nani atakua anamueka bench mwenzie
Inategemea Ntu na Ntu
Air Msumbiji ikielea angani..π
Sio CAF tu ata VPL mwamba Amekua Adui wa timu pinzani kila ukikutana na Simba.
Mpambanaji mwenye kipaji hil halina ubishi
Mpe neno moja konde boy π
14/04/2021
Chama anasema Hawasikiii..π
Kuna yoyote ambaye bado anawasiwasi na kiwango cha huyu mwamba .?
Soka flani la taratibu k**a hataki ila ukijisahau tu kakuadhibu
Ameifanya simba itulie iwe k**a ipo mazoezini leoπ
Kwenu mnamuitaje..?
14/04/2021
Kagere anasema hawaoni π
Top scorer (10 goals)
Leo mwamba Ameingia kambani mara mbili nakusaidia kuipa ushindi Timu yake wa goli tano(5-0) dhidi ya mtibwa.
Vipi Next match aanze au ampishee Mugalu..?