Garagara Trainer

Garagara Trainer

Share

10/06/2026
10/06/2026

hakuna kupoa hakuna kuchoka

09/06/2026

Punguza uzito na ondoa nyama uzembe
Karibu tujumuike pamoja
#

07/06/2026

Hybrid race prep ROCKFIT Family

03/06/2026

Tumepambana sana hadi Sasa tumepunguza Kg5 ndani ya mwezi moja hakuna kurudi nyuma hadi tufikie malengo

02/06/2026

Lunges

15/05/2026

ondoa kitambi jenga muonekano na imalisha afya yako kwa mazoezi hakikisha unatumia angalau dak20 kwa ajili ya mazoezi utapata matokeo mazuri kuliko kutokufanya kabisa.

12/05/2026

Mguu wa Pori

12/05/2026

Tumia angalau dakika20 hadi 30 kwa ajili ya mazoezi utapata matokeo mazuri sana kuliko kutokutanya kabisa
m

11/05/2026

Eti Nature achia misitu, anataka Fitter

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


1953
Dar Es Salaam
PETERGURETA