SculptArmy

SculptArmy

Share

Sculptarmy is a Fitness and well being brand for everybody. Get your high quality workout gears.

09/07/2026

We love Feedbacks☺️….A feedback from our lovely customer Sculpt stick imempatia zaidi ya matokeo Aliyokua anatarajia….karibu ujipatie yako sasa💧

Product: Sculpt Stick
Price: Tsh 50,0000/=

➡️Faida za sculpt stick

✳ Inahimiza thermogenic wakati wa mazoezi hivyo ni kichocheo cha metabolosm na kuchoma mafuta
✳ Inaboresha mzunguko wa damu na kuongezeka kwa jasho

✳ Inakaza ngozi ya mwili na kulainisha ngozi pamoja na kupunguza selulosi( michirizi)

Ps: Kwa wale wanaotaka matokeo mazuri kwa muda mfupi, paka Sculpt stick kabla ya workout yako itakusaidia kuburn fat kwa haraka sana.

Njoo ujipatie bidhaa hii nzuri kwa matokeo mazuri ndani ya muda mfupi…

📞0657164909
📍Kunduchi Mall, First floor
🛵We do deliveries

08/07/2026
07/07/2026

Happy Saba Saba Day🇹🇿

👉🏾Shop online today.!! Pick up at our store or get it delivered tomorrow🛍️

📞Call & shop
📍Kunduchi Mall, First floor
🛵 we do deliveries

07/07/2026

Happy Saba Saba Day🇹🇿

06/07/2026

Product name: Sculpt Stick

💰Price: Tsh 50,0000/=

Kipenzi cha Wengi kimerudi tena😊ujanja kuwahi jamani

➡️Faida za sculpt stick

✳ Inahimiza thermogenic wakati wa mazoezi hivyo ni kichocheo cha metabolosm na kuchoma mafuta
✳ Inaboresha mzunguko wa damu na kuongezeka kwa jasho

✳ Inakaza ngozi ya mwili na kulainisha ngozi pamoja na kupunguza selulosi( michirizi)

Call & shop-0657164909
📍Kunduchi Mall, First Floor

02/07/2026

Home workouts start with the right essentials. 💪🏽

No excuses. No waiting. Just results.

Anza safari yako ya fitness ukiwa nyumbani na vifaa vinavyokupa confidence kila workout.

🏋🏽 Premium fitness gear
🚚 Fast delivery
💯 Quality you can trust

Your fitness journey starts today.

Photos from SculptArmy's post 02/07/2026

🥑 Snack yenye protein nyingi ambayo itakufanya ushibe kwa muda mrefu! 💪

Ukihitaji kitu cha haraka, kitamu na kinachokupa nguvu, hii ni chaguo bora.

🥑 Nusu parachichi + 🥚 mayai ya kuchemsha hukupa mafuta mazuri (healthy fats) na protein ya kutosha. Ongeza 🥒 tango kwa ajili ya freshness na crunch, kisha changanya na Greek yogurt kidogo kuongeza protein zaidi, pamoja na mayo kidogo kwa ladha ya creamy.

Kwa nini hii snack ni nzuri?
✅ Ina protein nyingi zinazokusaidia kushiba kwa muda mrefu.
✅ Healthy fats zinazokupa satiety bila kula kupita kiasi.
✅ Rahisi kuandaa kwa kutumia viambato vichache.
✅ Inafaa k**a snack, chakula cha mchana chepesi au baada ya mazoezi.

👉🏾Tag a friend who need this or save it for later use

29/06/2026

Ready to level up your fitness journey? 🔥

Jumping rope - 20,000tsh
Slimming cream - 50,000tsh

Slimming Cream + Jumping Rope = the perfect combo to support your workout routine. 💪

✅Tumia slimming cream kabla ya mazoezi, kisha maliza session yako na jumping rope kwa cardio ya nguvu. Ukiunganisha na lishe bora na consistency, utaona tofauti katika safari yako ya fitness.

📍Available now – usikose kuanza safari yako leo!

26/06/2026

Product name: Sculpt Jump Rope
Price: 20,000tsh

Wewe ni mzuri kwenye kuruka kamba na bado haujajua ni kamba gani nzuri ya kutumia, Jaribu hii Sculpt Jump Rope.

1: Ina material mazuri na magumu
2: Ni nyepesi kwenye kuruka
3: Upande wa kushika upo soft na usioumiza
4: Ina uwezo wa kupunguza na kuongeza urefu
5: Inatumika kwa rika zote watoto na wakubwa

NB: Bila kusahau tuna club yetu kwa wale wote wanaohitaji kujifunza na kujua namna sahihi ya kuruka kamba mnakaribishwa
cc Tanzania Jump Club

📞 0657164909
📍Kunduchi Mall, First floor
🛵 We do deliveries

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Haile Selaisse 153
Dar Es Salaam
14001

Opening Hours

Monday 10:00 - 20:00
Tuesday 10:00 - 20:00
Wednesday 10:00 - 20:00
Thursday 10:00 - 20:00
Friday 10:00 - 20:00
Saturday 10:00 - 20:00
Sunday 10:00 - 20:00