Bocca Boxing Club

Bocca Boxing Club

Share

Established 2014. Bocca Gym Kambi Moto

29/08/2026

Boxing πŸ₯Š imekuwa njia maalumu kwa vijana wengi kufikia ndoto zao.
BOXING INAUNDWA KWA NIDHAMU βœ…
We appreciate y'all more than you know.
, learn, build, β€” starting from today and going as far as you can
Keep watching us

29/08/2026

Professional Boxer Aka Man Pozzo 75 KG πŸ‹οΈβ€β™‚οΈ
Mmoja kati ya vijana chipukizi kabisa kutokea hapa kambimoto πŸ”₯ bocca !!!
Bondia huyu mwenye njaa ya ushindi
Yupo kazini! Yupo tayari kwa kaziβœ…

28/08/2026

Ilikuwa siku nzuri kwa vijana wa BOCCA kufanya Sparring ndani ya Boccagym KAMBIMOTO πŸ”₯ Leoo !
Tunakuza vipaji - tuna andaa mabigwa πŸ’ͺ🏾 mabondia fanyeni mazoezi na mkae tayari kwa mashindano #

25/08/2026

Kazi kazi! Hapa tupo na
Muendelezo wa kuandaa vijana '
Katika hali ya kimchezo πŸ₯Š

24/08/2026

Bondia unahitajika kujengwa !!
Ki Mwili na Ki Akili
Nidhamu weka mbele , Afya na Kujiamini ni mtaji mkubwa' usizarau πŸ‹οΈβ€β™‚οΈ shiriki mashindano mbali mbali ili uweze kukuza uzoefu wako πŸ’ͺ🏾
Kuwa msikivu kwa walimu ( COACHES)
BOCCA BOXING CLUB katika kukuza mchezo wa ngumi πŸ₯Š

24/08/2026

BOCCA BOXING CLUB ni klabu inayojikita katika kukuza mchezo wa ngumi πŸ₯Š, kugundua na kuendeleza vipaji vya vijana, kujenga nidhamu, afya, kujiamini, teamwork na kuwaandaa mabondia kushiriki mashindano ya ndani na ya kimataifa πŸ”₯

19/08/2026

Ak Gs 451 Machine πŸ”₯ - 55 KG !! Pro Boxer Kutokea kimara baruti , dar es salaam Tanzania " record 4-0-0 tunawakaribisha kuzichapa 2026 πŸ₯Š Bocca Boxing Club tunakuza vipaji ' Hatua kwa Hatua .

19/08/2026

Bondia waziri magombana πŸ”₯
Kutokea hapa bocca boxing club hq'
Yupo tayari kwa kazi πŸ₯Š
yuko tayari kwa mpambano' na tunawakaribisha kuzichapa!!!!
Mabondia fanyeni mazoezi.

18/08/2026

Saidi mkola πŸ’ͺ🏾 gym captain!!!
Yuko tayari kwa kazi
Bondia mwenye njaa zaidi ya simba mawindoni " 2026 tunawakaribisha uringoni

Photos from Bocca Boxing Club's post 18/08/2026

Kazi kazi!

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Dar Es Salaam