28/08/2026
DOUMBIA ATAFUNGA TU - BARKER
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
Kocha Mkuu wa Simba Steve Barker amesema mshambuliaji Ibrahim Doumbia alikosa bahati ya kuweka mpira kambani kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union lakini ana imani mshambuliaji huyo atafunga mabao mengi.
Katika mchezo huo uliopigwa uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo ambao Simba iliibuka na ushindi wa bao 1-0, Doumbia alipata nafasi kadhaa ambazo alishindwa kutumia licha ya kukaribia kufunga.
"Doumbia ni mshambuliaji mzuri, sisi tuna muamini, nafikiri leo alikosa bahati tu ya kufunga lakini amefanya jitihada kubwa uwanjani"
"Hii ni hali ya kawaida kwa mchezaji mgeni, anahitaji kuzoea mazingira pamoja na mfumo wetu wa uchezaji kwa ujumla"
"Sina wasiwasi nae, ni mchezaji mzuri naamini atatufungia mabao mengi msimu huu," alisema Barker.
Mashabiki wa Simba wameaswa kuendelea kumuunga mkono mshambuliaji huyo ili wampunguzie presha ya nje ya uwanja ili aweze kufanya vyema.
SIMBA TAARIFA GROUP BORA LA WHATSAPP CHIMBO LA HABARI ADMIN MKUU WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
27/08/2026
Lilikuwa ni suala la muda tu
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
27/08/2026
MAPUMNZIKO
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
27/08/2026
Kikosi cha Simba dhidi ya Coastal Union
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
27/08/2026
MSAKO WA ALAMA TATU UNAENDELEA LEO
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
Ligi Kuu ya NBC inaendelea kushika kasi leo kwa mzunguko wa nne, huku macho ya mashabiki wa soka nchini yakielekezwa katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo uliopo Mbweni.
Katika dimba hilo, wenyeji Simba SC watashuka uwanjani kuikabili Coastal Union ya Tanga, katika mchezo unaotarajiwa kuwa wa vuta ni kuvute.
Utakuwa mchezo wa kwanza msimu huu kucheza nyumbani dimba la Isamuhyo walikohamia licha ya awali kuchagua kutumia uwanja wa Uhuru.
Wekundu hao wa Msimbazi watashuka Isamuhyo huku wakiwa na dhamira moja tu, kuendeleza mwanzo wao mzuri wa msimu huu.
Ushindi kwa Simba utawarejesha kileleni mwa msimamo wa ligi huku wakiendeleza rekodi ya ushindi wa asilimia 100.
Hata hivyo, Coastal Union, inayofahamika kwa soka lao la ushindani na nidhamu kubwa ya kujilinda, inakuja ikiwa na inasaka ushindi wa kwanza msimu huu.
Katika mechi tatu walizocheza, wamepata sare moja tu huku wakipoteza mechi nyingine mbili.
Kocha Msaidizi wa Simba Suleiman Matola amesema licha ya kutambua ugumu wa mchezo huo, watashuka dimbani wakilenga kuchukua alama zote tatu.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa saa 1 usiku. Mapema saa 10 Mashujaa Fc watachuana Kagera Sugar katika mchezo mwingine unaopigwa leo.
SIMBA TAARIFA GROUP BORA LA WHATSAPP CHIMBO LA HABARI ADMIN MKUU WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
26/08/2026
HII NI MALI
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
K**a Ligi Kuu Tanzania ingemalizika leo, ni wazi mchezaji ambaye angastahili tuzo ya MVP angekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba, Libasse Gueye.
Nyota huyo ameanza msimu kwa kiwango cha juu na tayari amejitengenezea nafasi ya kuwa mchezaji hatari zaidi katika ligi, akizingatia mchango wake mkubwa katika mechi tatu ambazo Simba imecheza na kushinda ugenini.
Katika mabao sita ambayo Wekundu wa Msimbazi wamefunga hadi sasa, matano yamepita mguuni mwa Libasse, huku akifanikiwa kutoa asisti nne za moja kwa moja.
Hiyo inaonyesha wazi namna ambavyo Msenegal huyo amekuwa na ushawishi mkubwa kwenye safu ya ushambuliaji ya Simba, kiasi cha kumfanya Kocha Mkuu Steve Barker kuamini ndio silaha yake kuu ya maangamizi kupitia upande wa kulia.
Simba imekuwa ikitumia zaidi upande huo kujenga mashambulizi, huku Libasse akionekana kuwa kiungo muhimu katika kutengeneza nafasi na kuisumbua ngome ya wapinzani.
Kinachovutia zaidi ni kasi ambayo Libasse ameanza nayo msimu huu ukilinganisha na msimu uliopita. Alijiunga na Simba katika dirisha dogo la usajili msimu uliopita na alihusika kwenye mabao nane, akifunga saba na kutoa asisti moja.
Lakini msimu huu, ndani ya mechi tatu pekee, tayari amehusika kwenye mabao matano.
Kwa takwimu hizo, Libasse anaonyesha dalili za kuwa katika msimu wake bora zaidi akiwa na Simba.
SIMBA TAARIFA GROUP BORA LA WHATSAPP CHIMBO LA HABARI ADMIN MKUU WHATSAPP NAMBA
0763999638
24/08/2026
HII NI HABARI NJEMA KWA SIMBA
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA USAJILI MPYA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
Habari njema kwa mashabiki wa Simba ni urejeo wa kiungo wa kati Alassane Kante baada ya mchakato wa uhamisho wake kukwama. Kante alikuwa mbioni kujiunga na timu kutoka Afrika Kaskazini lakini mchakato huo haukufanikiwa ndani ya muda.
Baada ya kushindikana, inaelezwa mkufunzi wa Simba Steve Barker alipendekeza mchezaji huyo arejeshwe kikosini. Bado ana mkataba wa mwaka mmoja na Simba hivyo amerejea kuendelea na majukumu yake k**a mwanzo.
Hata hivyo, Simba sasa italazimika kupunguza mchezaji mmoja wa kigeni ili kumuandikisha tena Kante, ambaye anaweza kusubiri hadi Januari kuanza tena kutumika ligi ya ndani pale dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa.
SIMBA TAARIFA GROUP BORA LA WHATSAPP CHIMBO LA HABARI ADMINI MKUU WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
22/08/2026
HII NI KADI YA TATU MFULULIZO
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
Hakika hizi kadi nyekundu zinazotoka kwa wachezaji wa Simba huenda kuna mkono wa mtu au hakuna mtu wa kuwatengeneze wachezaji kisaikolojia
Hili sio jambo la kawaida kabisa na likifumbiwa macho linaweza kuigharimu timu huku tunakoelekea
Katika mchezo dhidi ya Kagera Duchu alipata redi card lakini pia mchezo dhidi ya Pamba jiji mchezaji Jabaar alipata kadi nyekundu leo tena Antony Mligo amepata kadi nyekundu
Hapa kuna jambo au unasemaje
SIMBA TAARIFA GROUP BORA LA WHATSAPP CHIMBO LA HABARI ADMINI MKUU WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
22/08/2026
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
22/08/2026
Kikosi cha Simba dhidi ya Singida Black Stars
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638