cast__vag

cast__vag

Share

page yangu ni maalum kwa habari za michezo za ndani na nje ya tanzania ๏ฟฝ

17/09/2021

RASMI

Mechi mbili za kwaza za mkondo wakwanza wa LIGI YA MABINGWA AFRICA zimepatikana.

USGN ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ช vs ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Al Ahly
Jwaneng Galaxy ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ vs ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Simba SC

26/03/2021

โœ๏ธ Goli bora la mwezi, Nadhan anaestahili zaidi ni LAMELA dhidi ya Arsenal

26/03/2021

โœ๏ธ Mchezaji bora wa mwezi

26/03/2021

๐Ÿ‘‰Makocha wanaowania tuzo ya kocha bora wa mwezi Machi katika Ligi Kuu ya EPL.

๐Ÿ‘” Potter
๐Ÿ‘” Rodgers
๐Ÿ‘” Solskjaer
๐Ÿ‘” Tuchel

26/03/2021

Euro Mil 180

Borussia Dortmund wameweka bei ya Euro Milioni 180 kwa klabu yeyote ambayo inataka kuinasa saini ya mshambuliaji Erling Haaland msimu huu wa joto.

Klabu ambazo zinavutiwa na Haaland

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Manchester City
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Manchester United
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Chelsea
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Real Madrid
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Barcelona
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Bayern Munich

Source : ESPN

26/03/2021

Zambia ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ
DR Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ
Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Angola ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด
Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
Togo ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฌ

๐Ÿ‘† Hizi ndio nchi zilizoshindwa kutinga AFCON.

25/03/2021

๐Ÿ‘‰ EPL kuanza kutimua vumbi Agosti 14.

Ligi Kuu ya Uingereza msimu wa 2021/22 utaanza Agosti 14 na kumaliza Mei 22.

25/03/2021

โœ๏ธKufuzu Afcon

FT South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ 1-1 ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ Ghana
FT Gabon ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฆ 2-0 ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ DR Congo
FT Gambia ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฒ 1-0 ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด Angola
FT Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช 1-1 ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Egypt
FT Botswana ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ 0-1 ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ Zimbabwe

25/03/2021

Full time

Kenya 1-1 Egypt
โœ๏ธ Majirani zetu wameondolewa kwenye mashindano yakishiriki AFCON


25/03/2021

๐Ÿ‘‰ Kila la heri Taifa stars

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


420 Kisiwani
Dar Es Salaam