Kwetu Sport

Kwetu Sport

Share

Habari za michezo 24 hrs ndani na nje ya Tanzania . Follow Social channels zetu @kwetusport

29/08/2026

Ukisikia ile kauli ya Pesa Sio kila kitu inabidi uamini tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Klabu ya England Tottenham Hotspurs Ilitumia zaidi ya Paundi 300M kwenye usajili wao Msimu huu ili kujenga timu baada ya kunusurika kushuka daraja lakini cha kushangasa wamepoteza mechi mbili zote na wapo mkiani yani nafasi ya 20๐Ÿ˜‚.

29/08/2026

Chuga Boy anahitaji mabadiliko kidogo ili aweze kuwa bora zaidi๐Ÿ”ฅ

29/08/2026

Steve Barker na Simba sc Msimu huu wana Jambo lao... Yan haiishi mpaka iishe๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

29/08/2026

Manqoba Mngqithi, Effect ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’š๐Ÿ’‰

29/08/2026

Hawavumi lakini wamo..๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Mwamba mdogo mdogo anajitenga na maji

28/08/2026

Ni AIBU kipaji k**a hichi kinashindwa kuitumikia Timu ya Taifa ya Kongo. Nzengeli anakupa kila kitu uwanjani yani kuna muda nafikiri angekuwa mchezaji wa Stars angetusaidia sana.

Serikali na Chama cha Mpira wa Miguu Tanzania inabidi itumie akili sana kushawishi vipaji k**a hivi viwakilishe Taifa Stars kimataifa walau tutafika malengo flani.

We unalionaje hilo?

28/08/2026

Mwamba huyu hapa ndo ameanza kazi yake rasmi ilikuwa ni swala la muda na leo dhidi ya Pamba jiji Toure ametoa nuksi kwa kufunga

27/08/2026

SHA SHA vs Osimhen wa BOngo๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Nawakumbusha ndo kwanza ligi imeanza bado mbichi kabisa hivyo comment ziwe fupi fupi tu.

27/08/2026

Mwamba huyu hapa katika mchezo wa leo dhidi ya Coastal Union

27/08/2026

Huyu mwamba apewe Kiatu chake mapema mana Sio kwa moto huu...๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Kinyerezi Songas
Dar Es Salaam