27/08/2026
Neno moja la kibabe
A professional boxing from East Africa (Tanzania) A super middle weight
champion WBO, WBF
27/08/2026
Neno moja la kibabe
Tutafute pesa lakin tusisahau kuishi
Afilemu asigale munu
26/08/2026
Hakuna siku utakayo maliza matatizo yako yote.Jipe muda wakufurahia machache uliyobarikiwa
Zimebaki knockout chache kuweka record mpya
21/08/2026
CHAMPION 💪
20/08/2026
Aridhi ni yake mungu vya kwetu ni viti na meza Never give up
Wangapi wapo teyari kufundishwa ngumi na Dullah mbabe
19/08/2026
Wimbo mbaya haumbembelezi mtoto.
NEXT......!!
Mzaramo akiongea na wazaramo weupe