04/08/2026
MAEMA ANAREJEA SIMBA SC KWA MKOPO
🗣️ Neo Maema anarejea Simba SC kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Mamelodi Sundowns ya Afrika kusini.
🗣️Makubaliano yamefikiwa, huku kocha Barker akimtaka Maema kuwa sehemu ya kikosi chake kwa msimu ujao.
🗣️ Ikumbukwe kuwa, Neo Maema alisaini kandarasi ya miaka miwili hivi karibuni k**a mchezaji wa Mamelod Sundowns.
NB: Njoo upige tena ile migoli ya kideoni....👆👆
04/08/2026
HUYU NI MCHEZAJI GANI..?
🗣️ Leo klabu ya Yanga imetangaza kumtambulisha mchezaji mpya na hii ni sura mpya iliyoonrkana kwenye msafara wao.
Je, huyu ni nani..........😀😀?
TUKUTANE KWENYE COMENTS
04/08/2026
WANASIMBA WAOMBA KUUNGANA
🗣️ Klabu ya Simba kupitia taatifa waliyoitoa mapema hivi leo wamewaomba mashabiki na wanachama kuungana.
🗣️ Aidha, taarifa hiyo imeongeza kuwa klabu imesitisha mijadala inayohusu bodi kwasasa na kujikita zaidi kwenye maandalizi ya Simba Day na msimu ujao wa NBCPL 2026/2027.