YANGA YETU DAIMA

YANGA YETU DAIMA

Share

οΏ½ SHABIKI WA UKWELI
οΏ½ DAIMA MBELE NYUMA MWIKO

27/04/2024

Point 3 muhimu πŸ”°

27/04/2024

HALF-TIME

21/04/2024

π•†π•—π•—π•€π•šπ••π•– π•ͺ𝕒 π•Ÿπ•ͺπ• π•œπ•¨π•– πŸ€“

14/04/2024

Anaandika FARHAN KIHAMU ✍️

Hawaeleweki tu wameshaamua hawataki kueleweka, mara Jonas Mkude amiliki dimba la Kirumba k**a yeye ndie Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameamua tu tusiwaelewe mara Joseph Guede atokee kwenye mechi muhimu tu, alitokea dhidi ya Belouzdad, akaja dhidi ya Mamelodi na leo kwenye operation Kirumba amezima Uchambuzi mwingi tu.

Hawaeleweki tu Wananchi, mara Gift Fred auwashe Beki wa pembeni wakati alisajiliwa k**a Beki wa kati, mara Clement Mzize asieleweke k**a anacheza Tisa ama kivuli, mara asitake kufunga zaidi ya kupika tu! Stephen Aziz Ki ndio kabisa simuelewi mara aje chini k**a Mkabaji mara abaki juu k**a False9 mara acheze na anaweka kamba yake ya kideo, simuelewi tu na ana mabao 14.

Siwaelewi Wananchi, ghafla akaingia Kibwana Shomari, kumbe Mudathir nae alikuwa bench mara Zawadi Mauya mara akaingia Farid M***a, siwaelewi kabisa Wananchi hivi hawana uchovu? Mara walisafiri mpaka Cairo, mara wakacheza mechi za Ligi Kuu, mara Pretoria na baadae Dodoma na leo Mwanza na bado hawajachoka siwaelewi kabisa.

Wamecheza kombe la CRDB bila Pacome Zouzoua na Kouassi Yao Yao na siwaelewi ni k**a hakuna kilichotokea maana Aucho aliingia tu kupasha misuli, wamecheza leo kombe la NBC bila Pacome na Zouzoua, siwaelewi zaidi maana Kouassi ameshapona na hawajataka kumtumia, siwaelewi kabisa Wananchi!

Haya baada ya kutozielewa sana timu nyingine kuwa hazina zinachofanya ule wakati wetu umefika sasa, sijui tutaelewana??___πŸ˜€

Mpaka Azam Tv imewachanganya πŸ˜‚πŸ”₯

23/02/2020

πŸ”₯ MATCH DAY
⚽ Coastal Union v Yanga SC
πŸ†
πŸ“… 23 February 2020
πŸ•“ 16th00 EAT

πŸ’šπŸ’› https://t.co/8g4K0kujTW

11/02/2020

Tumetoka mbali, na tunasonga mbele. Mwananchi Karibu tujumuike pamoja kuandika historia mpya ya Klabu yetu leo pale Uwanja wa Taifa Saa 1:00 usiku

VIP A - 15,000/-
VIP B&C 10,000/-
Mzunguuko 5,000/-

09/02/2020

Pongezi kwa Mchezaji wetu ambaye ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mechi yetu dhidi ya Ruvu Shooting. Ahsanteni sana wananchi kwa ushiriki wenu.

08/02/2020

Takwimu zetu na Ruvu Shooting tangu msimu wa 2016/17 hadi sasa.

28/01/2020

Ataukosa mchezo ujao dhidi ya Lipuli FC

26/01/2020

. Tukutane Uwanja wa Taifa leo kwenye mchezo wetu dhidi ya Tanzania Prisons saa 10:00 jioni.

VIP A 15,000/-
VIP B&C 10,000/-
Mzunguuko 3,000/-

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Jangwani
Dar Es Salaam
1935