Milingoti mitatu

Milingoti mitatu

Share

Karibu katika ukurasa huu kupata kujua habari mbalimbali za kimichezo ndani na nje ya Tanzania

18/04/2022

K**a uliangalia mpira katika ya Simba sc dhidi ya Orlando pirates huyu jamaa unampa asilimia ngapi ?? nungunungu.

:

18/04/2022

Ameandika .adebayor kwenye ukurasa wake wa Instagram

marafiki zangu hongereni kwa ushindi wenu na nakumbuka sana upendo wenu kwangu

05/04/2022

✍️Orlando pirates News to Simba sc Haji Manara Receive News Amazing

This is football don't panic

🗣️Call me Molauranta
:

05/04/2022

Baada ya kufanyika Droo ya kombe la klabu bingwa Afrika

Es- Setif vs Es Tunis
CR - Belouizdad vs Wydad AC
Al - Ahly sc vs Raca CA
Atletico Petroloes vs Mamelodi Sundowns

05/04/2022

✅Baada ya Draw ya hatua ya Robo fainali kufanyika

SIMBA SC VS ORLANDO PIRATES

AL ITTIHAD vs ALHI TRIPOLI

PYRAMIDY VS TP MAZEMBE

AL MASRY SC VS RS BERKANE

mkondo wa kwanza 17 April 2022

mkondo wa pili 24 April 2022

03/04/2022

SIMBA ROBO FAINALI

klabu ya simba sc yatinga hatua ya Robo fainali kombe la shirikisho Afrika baada kuifunga US Gendermerine National magoli 4-0 magoli yalifungwa na Kanoute 63' Mugalu ambaye ameingia kambani mara mbili dakika 68 na dakika 78 na goli la nne amejifunga mchezaji wa US Gendermerine National Hamisi dakika 84 ya mchezo.

Simba sc washika nafasi ya Pili wakiwa na alama 10 na magoli yakufungwa na kufunga 2 ya kundi lao D ambapo nafasi ya kwanza ikiongozwa na RSB Berkane wa Morocco ambao nao wana alama 10 magoli yakufungwa na kufunga 2.

26/03/2022

ALEX KABANGA CHALI MBELE YA TWAHA KIDUKU

Bondia Mtanzania 🇹🇿Twaha kiduku rasmi bingwa UBO Afrika katika uzito wa Super middle baada ya kumtwangwa kwa alama ( point) mpinzani wake Alex Kabanga raia kutoka DR Congo anaishi nchini Afrika kusini.

📸 by Azam tv

Photos from Milingoti mitatu's post 25/03/2022

MATOKEO YA MICHEZO YA KUFUZU KOMBE LA DUNIA NCHINI QATAR 2022 MATAIFA KUTOKA AFRIKA.

DR CONGO 1-1 MOROCCO
CAMEROON 0-1 ALGERIA
MALI 0-1 TUNISIA
EGYPT 1-0 SENEGAL
GHANA 0-0 NIGERIA

Michezo ya kulidiana itachezwa Mach 29 ,2022 siku ya jumanne.

Je! timu ipi hapo unaipa nafasi ya kufuzu kombe la dunia nchini Qatar 2022.
:

11/02/2022

TANZIA:

TAARIFA za hivi punde zinasema Mchezaji Ally Mtoni Sonso amefariki dunia.

Kwa mujibu wa taarifa hizo zinasema, Msiba umetokea Hospital ya Taifa ya Muhimbili muda mchache uliopita.

07/02/2022

FRANCIS BARAZA - Kocha Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Januari, 2022.


Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Dar Es Salaam