Unapo piga bag chakwanza akikisha una relax uki relax ina kutengenezea wepesi wa kupiga bag automaticl
Cha pili akikisha una piga kutokana na step punch ambazo ulifundishwa na coach wako
Cha tatu tengeneza picha alisi kichwani wakati una piga bag yan imagenation.hii itakusaidia kupiga kwa hesabu na movement halisi GHOST Fitness GYM Xam Trainer
GHOST Fitness GYM
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from GHOST Fitness GYM, Personal trainer, Kimara, Dar es Salaam.
CHUO CHA NGUMI
KWA MAZOEZI YA KUTENGENEZA MWILI PAMOJA NA MAZOEZI YA BOXING PROFESSIONAL KALIBU
MAWASILIANO 👇👇👇
whatsap no +255780442217
TIKTOK...https://www.tiktok.com/@badboyghost1?_r=1&_t=ZS-98Sof9Zzc8a
Dah..!😀
Ina chekesha k**a hakuna ndugu yako mungu atupe nguvu
Kwann watu ufanya burudani kwa watu wasio na birudani.? GHOST Fitness GYM Xam Trainer
Ooh😳😳
Mambo matatu muhimu
Moja kujilinda
Mbili kuto kufosi ama kuingia kwenye mfumo wa mpinzani
Tatu kuwa na mahamuzi pindi unapo shambuliwa .... GHOST Fitness GYM Xam Trainer
Hardwork💪
Boxing ni mchezo wa vija tuliotekea kwenye maisha ya kimaskini
Kwakuwa tuna ndoto kubwa za kukombowa maisha yetu ivyo inatakiwa kupenda nakulinda tunacho fanya tua chane na usela kwani boxing nikazi ili kufanikiwa inatakiwa kujali kazi GHOST Fitness GYM Xam Trainer
Dah.!🤣
Ivi kwani ngumi watu wana zichukuliaje aisee dah.!🤣🤣🤣 GHOST Fitness GYM Xam Trainer #
Dev😈
GHOST Fitness GYM Xam Trainer
Dah.!😥
Boxing ni mchezo hatari sana
Napia boxing ni mchezo wa vijana masikini
Ivyo tu ueshimu sana huu mchezo GHOST Fitness GYM Xam Trainer
Ila baba mkwe 😪
Watu wengi uwa dhaifu wanapo fika umri wa uzee sabavu yakuto kufanya mazoezi
Na hii usababisha maradhi mengi sana ufikapo umri wa uzee
Jitaidi kufanya mazoezi ata kwa nusu saa kwa siku GHOST Fitness GYM Xam Trainer
https://www.instagram.com/coach__ghost?igsh=MTV0MHVncjduZGUwbQ==
Usimzarau usiye mjuwa
Sasa hii ndiyo rahaa ya boxing
Hakuna kitu kibaya k**a kujiona wewe kila kitu una weza na kujikuta mbabe mbele ya mtu usiye mfahamu GHOST Fitness GYM Xam Trainer https://www.instagram.com/coach__ghost?igsh=MTV0MHVncjduZGUwbQ==
Mwalimu wa mathe yupo wap😀😀
GHOST Fitness GYM Xam Trainer
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Address
Kimara
Dar Es Salaam