Time flies 😭😢
Pavard JR
Sport for Refreshment
Kila la kheri wekundu wa msimbazi kwenye gemu ya Leo.
01/10/2023
Kila la kheri chama langu la wekundu wa msimbazi kwenye gemu yetu ya Leo 🙏. Inshallah tutashinda na kufuzu makundi sema ameeni.
01/10/2023
Wamefuzu lakini hawana furaha kwasababu wanaelewa baada ya miaka 25 ndo wanafika level ambayo Simba wameshafanya hvyo sana tu kwahyo hmna maajabu.
30/09/2023
Nchi hii bila Simba kufanya vizuri kimataifa Tanzania tusingepata nafasi ya kuandaa AFCON
16/09/2023
Unawakumbuka Hawa viungo Bora kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka
19/08/2023
Chuma Cha reli....
03/08/2023
Tukisema simba timu kubwa ndo tuna maamisha hivi ,,, Siku tatu kabla ya gemu tushamaliza ticketi zooote
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam