Man of the match Chilambo Leo ameokoteshwa na mashabiki wa Simba
Fadhili Mramba official midfielder
Sports analyst
Football
Leo Rais wa Yanga akaamua kumuokotesha Yao Yao Baada ya mechi
Mchezaji wa Azam FC, Feisal Salum (Fei Toto), amemzawadia mtoto wa Super na Superior Yasin Khamis zawadi yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 300.
Hatua hii imefanyika k**a ishara kubwa ya upendo, mshik**ano na uwekezaji wa baadaye kwa mtoto huyo.
Tukio hili linakumbusha ushirikiano na sapoti kubwa aliyowahi kuonyeshwa msanii Zuchu na jamii pamoja na watu wake wa karibu.
Msemaji wa Simba Sc ajibu kuhusu Selemani Mwalimu kutocheza kwenye kikosi cha Yanga Sc.
|Avatv
Mechi 3️⃣ za Simba Sports Club zijazo Ligi ya Nbc Premier League ⛳️
▫️Simba Sports Club vs Coastalunion Fc
▫️Simba Sports Club vs Geita Gold Football Club
▫️Azam Football Club vs Simba Sports Club
Unaziona alama ngapi kwenye michezo hii mitatu ya ligi Ijayo 🦁
"Kadi nyekundu ilikuwa ta Libasse Gueye"
Ally Kamwe alijitamba sana ya kuwa wameingia mpaka kwenye kambi ya Mnyama Simba SC kule Zanzibar na kuwakuta walinzi wa kambi ya Simba SC wakiwa wamelala usingizi fofofo na wanakoroma juu.
Walipofanikiwa kuingia ndani wakampora Seleman Mwalimu na kumtoroshea Yanga SC. Sasa inaonekana k**a Simba SC awakusamehe bado wanaishi na kinyonge ndani yao.
Kumeibuka taarifa ya kuwa kwenye mifumo jina la Seleman Mwalimu bado linasoma Simba SC na kwakua Simba SC bado awajalitoa jina la Gomez kwenye mfumo ndiomana imewawia vigumu Yanga DlSC kuanza kumtumia.
Lakini cha kufurahisha Ahmed Ally akizungumza na U FM ameweka wazi wao Simba SC awana cha kuwajibu juu ya Sele mana sio mchezaji wao k**a vipi waulizwe Yanga SC kwanini Gomez achezi Yanga Sc
Credit by Ufm
Sasa hapa kaona nini jamani??? 😃 😀 😄 😁
Usimkatie mtu tamaa 😃 😀 😄 😁 🤣
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Website
Address
Posta Road
Bunda
MARA