Arusha Polisi Jamii Jogging Club

Arusha Polisi Jamii Jogging Club

Share

Mazoezi haya yanafanyika kila siku ya jumamosi katika Jiji la Arusha

ARUSHA POLISI JAMII JOGGING CLUB ni kikundi kinachohusisha vyombo mbali mbali vya ulinzi na usalama, majeshi mbali mbali na Raia katika kufanya mazoezi pamoja na jogging.

03/09/2026

Tuwe na Focus ya Maisha kwanza

Photos from Arusha Polisi Jamii Jogging Club's post 18/08/2026

Timu yetu ya kukimbia na Magunia ipo kwenye mazoezi. Huenda tukashiriki Afcon ya Magunia 2027

18/08/2026

With TBConline – I just got recognised as one of their top fans! πŸŽ‰

18/08/2026

I got over 1,000 reactions on my posts last week! Thanks everyone for your support! πŸŽ‰

18/08/2026

Best wishes, Tunaimani unaenda kuunganisha Jamii nyingine Kwa upendo wako, kujituma kwako na Kwa vitendo

17/08/2026

Making one person Smile may change the world 🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍

17/08/2026

FAMILIA

16/08/2026

Tunatest kikundi cha hamasa Afcon 2027

16/08/2026

Moja ya Yale mambo makuu matatu moja ni hii tuliyoifanya. kuwatembelea wagonjwa na wenye uhitaji katika jamii.

Fika Kwa mgojwa muombee arudi kwenye majukumu yake k**a wewe

13/08/2026
Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


ARUSHA
Arusha