shabanifundisport

shabanifundisport

Share

⚽️ Shabani Fundi Sports
πŸ“Š Uchambuzi wa Mechi & Takwimu
🟑🟒 Yanga Updates | Ligi Kuu TZ
πŸ›’ Pia: Biashara Samunge Market
πŸ“© DM kwa matangazo & ushirikiano

02/06/2026

Nani tukutane uwanja wa sinoni arusha kuwacheki vijana wetu fainali kuna screen kubwa limewekwa hapa bureee kabisa

Aliopo karibu na uwanja wa shule ya sinoni tujuane hapa





22/05/2026

Kikosi cha Singida Black Stars kinachoanza dhidi ya Yanga


18/05/2026

MAYELE ANAENDA KOMBE LA DUNIA

Hiki hapa Kikosi chΓ  timu ya Taifa Dr Congo πŸ‡¨πŸ‡© kinachoelekea Marekani kwaajili ya kombe la Dunia


18/05/2026

πŸ“’ NATAFUTA KAZI / FURSA YA KAZI πŸ“’

Habari ndugu, jamaa na marafiki.
Mimi naitwa Shabani Halidi, mwenye elimu ya Form Four (2017) kutoka Joel Bendera Secondary School.

Kwa sasa natafuta nafasi ya kazi katika:

Kazi ya madukani

βœ… Mauzo ya bidhaa za jumla
βœ… Maduka ya vifaa vya michezo
βœ… Biashara na matangazo ya bidhaa online

Nipo tayari kufanya kazi kwa bidii, kujifunza zaidi na kushirikiana vizuri na timu.

πŸ“Œ Pia naomba mtu yeyote mwenye biashara au huduma, anaweza kutumia page zangu
kunitumia matangazo yake kupitia ukurasa wangu nitamsaidia kutangaza bidhaa au huduma yake kwa watu wengi bila shida.

Huku nikiwa kazini kwake karibuni sana

πŸ“ž 0787 112 659
πŸ“§ [email protected]
πŸ“ Arusha, Tanzania

Mwenye nafasi au taarifa yoyote naomba aniunganishe. Asanteni sana πŸ™



18/05/2026

Wadau wa michezo tuwe tunajenga hoja za kujenga na siyo za kubomoa. Maneno yetu wakati mwingine yamekuwa ya kuharibu na baadae tunawaona k**a hawawezi kazi zao.

Kwa mfano, wakati wachezaji wapya wa Yanga SC wamesajiliwa wakina Doumbia, Ecua na Musa Bala Conte, yalipigwa zogo kwamba usajili umefeli viongozi wanapaswa kuwaondoa na kuleta wengine hii imeipelekea timu kukosa balance.

Hatujaishia hapo makocha naa k**a hivyo makelele mwanzo mwisho waachwe wanafanya vibaya. Kiongozi anashimdwa ashike lipi huku Nako mashabiki hawana tulivu kila kukicha ni zogo tu. Duniani kote hakuna timu ya hivyo yaani kila kitu kikifanyika kelete matokeo hapo hapo ni uongo.

Mfano mzuri pale Simba SC, Neo Maema k**a wangewasikiliza wadau leo hii asingekuwepo Msimbazi, Innocent Luwemba, Libasse Gueye. Kwaiyo tuwe tunajaribu kuwaacha watu na taaluma zao siyo kitu ni kukosoa tu hakuna kizuri kwa viongozi.

Moja ya vitu vinaanza kufeli pale YANGA SC ni makelele ya wadau, naamini Rais wa Yanga Injinia Hersi Said hiki kitu anakiona sema tu hauwezi kusema kila kitu. Mashabiki, wanachama na wadau wote wanaungana kupiga makelele kwa kila kitu. Guys guys mpira imekuwa sehemu rahisi sana kila mmoja kutupa maneno yake, hii siyo sawa.




18/05/2026

πŸ”°...πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜ leo mechi ya kukata na shoka mwananchi
β€Ž
β€ŽπŸ†
β€Žβš½ JKT Tanzania πŸ†š Young Africans
β€ŽπŸ“… 16.05.2026, Saturday
β€ŽπŸŸοΈ Major General Isamuhyo, Dar Es Salaam
β€ŽπŸ•– 18:30 EAT
β€Ž
β€Ž
β€Ž

Photos from shabanifundisport's post 12/05/2026

Maandalizi ya kuwakabili Dodoma Jiji yameanzaπŸ”°πŸ’ͺ🏽

12/05/2026
Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Arusha