Marudio sasahivi tukajifunza soka kupitia Yanga
Azam Sports 1 HD
ZA MOTO Sports
JUMBA LA MICHEZO Follow page na share yetu upate taarifa za kimichezo na uchambuzi
13/08/2026
AHMED ALLY ; ASUBUHI YENYE UCHUNGU MKUBWA KWA SIMBA SC ♦️ 🔥
Al hamdullilah tumerejea salama Dsm na moja kwa moja tunaanza maandalizi ya mechi ya kwanza ya ligi kuu August 16 dhidi ya Kagera Sugar
Asubuhi yenye uchungu ndio tumeamka nayo, na kwa wengine hawajapata hata usingizi wenyewe
Niwahakikishie Wana Simba Maoni yenu tumeyaona kuyasikia na kutafanyia kazi, yanayohusu maamuzi ya uongozi yanafanyiwa kazi na yanayohusu ufundi pia yanafanyiwa kazi
Tuwe makini sana na baadhi ya watu ambao wanataka kutumia kufungwa kwetu k**a sehemu ya kuamsha migogoro na kudhalilisha viongozi wetu kupitia mchezo mmoja wakijisahaulisha kuwa Viongozi hawa ndio walioshinda Derby mbili kati ya tatu za msimu uliopita
Ukiona mtu anasifia chakula cha Msibani basi jua msiba haumuhusu na ukiona mtu anaibagaza Simba kwa kupoteza mechi moja basi jua ana agenda yenye manufaa na yeye
Tuna mechi tatu ngumu mbele yetu tunatakiwa kujipanga kwa kushinda mechi hizo
Tusikubali matokeo ya jana yakaathiri mechi zetu za mwanzo za ligi kuu
12/08/2026
Ishu si kupoteza mchezo wa Leo Wala si kuendeleza mikakati wa kutopata matokeo mazuri Kwa mtani ishu ni kuona unaweza kuibiws mchezaji kizembe ambaye anaweza kuwa na impact hasa katika mchezo huu.
Simba wameonesha tatizo lile lile linalowasumbua siku zote fitness ya Simba siku zote ni hovyo kwenye game ngumu game zote ngumu Simba wanaanza Kwa pressure ya juu wanapress Kwa nguvu energy ya kutosha lakini kadri mchezo unavyozidi kuaogea mbele ndivyo wanapunguza nguvu na kumpa mpinzani mchezo.
Yanga hii itawatesa sana wapinzani Wana energy wazee
12/08/2026
KARIAKOO DERBY: NGAO YA JAMII 2026
➡️ Mchezo Ni Mapumziko
🔰1️⃣
🦁0️⃣
⚽ Albert Kangwanda
Umekionaje Kipindi Cha Kwanza...? Una Kipi Cha Kuzungumza?
12/08/2026
Depu ametambulishwa na Petro de Atletico akisajiliwa kutokea Yanga . Yanga wamefanya biashara ya B 1+
11/08/2026
Sele kanenepa ghafla
11/08/2026
Itakuwepo
11/08/2026
Klabu ya Simba imefanikiwa kumsajili mshambuliaji Ismail Mgunda
11/08/2026
Seleman amefika Zanzibar
11/08/2026
NGAO YA JAMII 2026
| "Simba ni timu ya mataji na kesho tunaingia kwa lengo la kushinda taji"
Kocha wa Simba SC, Steve Barker amesema wamejiandaa vizuri na wako tayari kwa pambano la kesho Agosti 12 dhidi ya Yanga.
"Tunataka kuuanza vizuri msimu mpya wa 2026/27 kwa kuchukua Ngao ya Jamii", amesema Kocha Barker.
Amesema wanaingia kwenye mchezo huo wakitambua ubora wa wapinzani wao, hivyo wamefanya maandalizi kila idara kiufundi, kimwili, kiakili, kihisia na kisaikolojia.
Mwisho Kocha Barker amesema Simba ni timu inayoamini katika ushindi, hivyo anaamini watashinda na kuoeleka furaha Msimbazi.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Address
Arusha