TEZI DUME: CHANGAMOTO KWA AFYA YA MWANAUME.
Tezi dume ni tatizo linalowasumbua wanaume wengi, hasa kuanzia umri wa makamo na kuendelea. Changamoto hii ikichelewa kushughulikiwa kitaalamu, inaweza kuathiri kwa kiasi kikubwa ubora wa maisha na afya kwa ujumla. Kenko Care tunatoa suluhisho makini, salama na la kitaalamu kwa kuzingatia hali ya kila mgonjwa.
DALILI KUU 5 ZA MGONJWA WA TEZI DUME
Kukojoa mara kwa mara hasa usiku
Maumivu au kuwashwa wakati wa kukojoa
Mkojo kutoka kwa shida au kwa kusuasua
Maumivu ya chini ya tumbo au sehemu ya nyonga
Kupungua kwa nguvu za kiume au hamu ya tendo la ndoa
HATARI ZA KUCHELEWA KUPATA MATIBABU
• Kuzorota kwa figo kutokana na kushindwa kutoa mkojo vizuri
• Maambukizi ya mara kwa mara ya mfumo wa mkojo
• Kushindwa kabisa kukojoa (urinary retention)
• Kupungua kwa uwezo wa kufanya kazi na kuathirika kwa maisha ya ndoa
• Kuongezeka kwa hatari ya saratani ya tezi dume
Usisubiri hali iwe mbaya. Uchunguzi wa mapema na matibabu sahihi huokoa afya na maisha. Kenko Care tupo tayari kukusaidia kwa njia salama, ya kisasa na inayojali utu wa mgonjwa.
MAWASILIANO
Piga simu au WhatsApp: 0658 977936
Kenko Care – Afya Yako Kwanza.
Kenko Care Clinic
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kenko Care Clinic, MKULIMA HOUSE MKABALA NA MABIBO HOSTEL, Arusha.
Kenko Care Clinic
Tunatoa huduma za ushauri wa kiafya, virutubisho lishe, elimu ya afya na bidhaa salama kwa changamoto mbalimbali za kiafya ikiwemo magonjwa sugu.
📍 Mkulima House, Mkabala na Mabibo Hostel
📞 0658 977936.
19/12/2025
JE, MATATIZO YA UZAZI YAMEKUWA KIKWAZO KATIKA MAISHA YAKO YA KILA SIKU?.
Kukosa hedhi, maumivu ya tumbo, au kuchelewa kupata ujauzito si mambo ya kubeza.
Kenko Care tupo kukupa maarifa sahihi, mwongozo wa kiafya na usaidizi wa karibu bila madhara.
Afya yako ya uzazi ni msingi wa maisha bora.
Tuma “Afya ya Uzazi” WhatsApp 0658 977936
Au tupigie: 0768 277936.
Kenko Care – Afya yako Kwanza.
17/12/2025
JE, UNASUMBULIWA NA GESI, KIUNGULIA AU TUMBO KUJAA KILA MARA?
Huenda lishe yako ina mchango mkubwa kwenye changamoto hizi.
Follow ujifunze:
✔️ Vyakula vinavyosababisha matatizo ya tumbo
✔️ Njia sahihi za kuboresha mmeng’enyo
✔️ Suluhisho za asili kwa afya bora ya tumbo
Afya bora huanza na lishe sahihi! ...
17/12/2025
🎄 Heri ya Sikukuu kutoka Kenko Care! 🎄
Katika msimu huu wa furaha, tunawaletea PUNGUZO LA 30% kwa huduma zetu zote za kiafya — hususan zile zinazohusu afya ya uzazi kwa mwanaume na mwanamke!
👩⚕️ Kwa wanawake tunatatua:
• Kukosa hedhi au hedhi isiyo ya kawaida
• Maumivu ya tumbo wakati wa hedhi
• Kukosa hamu ya tendo la ndoa
• Uvimbe wa kizazi (fibroids)
• Utoaji wa mayai hafifu
• Maambukizi ya mara kwa mara ukeni
👨⚕️ Kwa wanaume tunasaidia kwenye:
• Kupungua kwa mbegu za kiume
• Mbegu dhaifu au zisizosafiri
• Maumivu wakati wa tendo
• Tatizo la kutojiamini kingono
• Maambukizi ya mara kwa mara kwenye njia ya mkojo
• Kutozalisha kabisa
🟢 Tunatumia virutubisho vya asili vilivyothibitishwa k**a AFACELL PLUS Moringa Extract kusaidia mwili kujiimarisha kutoka ndani.
📞 Wasiliana nasi:
0768 277936 | WhatsApp 0658 977936
Afya yako kwanza, ndiyo furaha ya familia yako 💚
16/12/2025
🌿UNATESEKA NA CHANGAMOTO ZA UZAZI?
Sasa unaweza kupata suluhisho asilia, salama na lenye nguvu kupitia AFACELL PLUS Moringa Extract 💪🏾
✅ Husaidia kusafisha mwili na kuondoa sumu
✅ Hurekebisha homoni na kuboresha mfumo wa uzazi
✅ Huongeza nguvu na kinga ya mwili
✅ Hupunguza msongo wa mawazo na kuchangamsha akili
Usikubali changamoto hizi ziendelee kukutesa.
📞 Piga: 0768 277936
💬 WhatsApp: 0658 977936
Kenko Care – Afya Yako Kwanza! 💚
11/12/2025
Kenko Care tunakusaidia kurejesha afya yako kwa njia salama na ya asili
Ikiwa unateseka na matatizo ya mmeng'enyo, homoni, uzazi, vidonda vya tumbo, kiungulia au uchovu sugu…
Tuma "Afya" WhatsApp 0658 977936
Kenko Care: Afya yako kwanza.
11/12/2025
Unahitaji ushauri wa kiafya au huduma bora kutoka Kenko Care?
Tupo kwa ajili yako!
Wasiliana nasi sasa kupitia WhatsApp au simu:
0768 277936
Afya Yako Kwanza!_
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the business
Telephone
Website
Address
MKULIMA HOUSE MKABALA NA MABIBO HOSTEL
Arusha
16109
Opening Hours
| Monday | 07:00 - 23:00 |
| Tuesday | 07:00 - 23:00 |
| Wednesday | 07:00 - 23:00 |
| Thursday | 07:00 - 23:00 |
| Friday | 07:00 - 18:30 |
| Sunday | 07:00 - 23:00 |