29/08/2026
SIKU YA BURDAAN
Kesho mida ya alasiri tutakua tunakiwasha pale estadio de thika barracks dhidi ya Silver Hawks fc πͺβ½οΈ
Shughuli ya kesho ndio hii,najua haukua na fom na ndo maana thika veterans tuko hapa kuhakikisha unafurahi na unapata burdaaan ya kutosha kwenye wikendi yako π
Mapema ndio best siku zote πͺ
28/08/2026
Burdaaan ilirudi jumapili iliyopita na wale Mpesa legends waliteseka sana mikononi mwetu,mashabiki pia walifurahi ππ
Wikendi ijayo tutazidi kuwapa burdaan mashabiki wetu wa nyumbani hapa estadio de thika barracks πͺβ½οΈ
Usikose,njoo tufurahi kwa pamoja π
Thika veterans 3 - Mpesa legends 1
Thank you Mpesa legends for honouring our invite and see you again soon, football won as always πͺβ½οΈ
23/08/2026
Baada ya sherehe kadhaa za kukata na shoka hatimaye tumerudiii πͺβ½οΈ
Leo mida ya saa sita mchana tutakua tunakiwasha pale estadio de thika barracks dhidi ya marafiki zetu Mpesa foundation legends β½οΈπͺ
Wale mashabiki wetu wapenda burdaaan tufike na mapema tufurahi kwa pamojaπ
Hii inakuanga kuubwa na inakuanga ya mabeste,usikose πͺ
Thika veterans
Vs
Mpesa foundation legends
23.08.26
12pm
Thika barracks
15/08/2026
Today we doing it differently,no burdaaan and pasi nyerezi on pitch,today one of us is exchanging vows before God and before the church ππ
Beki kisiki George Otieno Onyango is doing it today and all of us here at thika veterans we have given him our blessings and wish him well for the rest of his life π
Mwenyezi mungu akutangulie na iwe ya furaha na baraka kwako na kwa mpendwa wako πππ
Congratulations Oti magnums π
01/08/2026
The weekend is here with us again and obviously you know its time for burdaaan β½οΈπͺ
Kesho mapema tutakua tunakiwasha pale estadio de thika barracks,njoo na rafiki yako tufurahi kwa pamojaπͺ
30/07/2026
On Sunday Shabana Thika Road Branch came to estadio de thika barracks and saw very bad thingsπ
π
We beat them thoroughly,it was a game of burdaaan and good vibes,for sure we enjoyed this one π
Wale mashabiki wetu wapenda burdaaan wamesema hii lazima irudiwe β½οΈπͺ
Thika veterans 3 - Shabana TRB 1
Thank you Shabana TRB for honouring our invite,see you again soon..football won as always β½οΈπͺ
25/07/2026
SIKU YA BURDAAAN
Si mnajua pale estadio de thika barracks huwa hapatoki mtu,kuja mapema kuja na rafiki yako pamoja na mpenzi wako tupate burdaan kwa pamojaβ½οΈπͺ
24/07/2026
πΈπΈπΈ
Thika veterans 2 - Mpesa legends 4
18/07/2026
SIKU YA MECHI
Kesho mapema pale estadio de thika barracks tutakua tunagawa burdaaan πͺβ½οΈ
Usikose,utachekwa!