15/06/2026
'Yaani sisi Utawala Youth Fc na Lakewood tumepea hao wasee point sita zote'π₯Ά
Geukia kitu iko karibu nawe na uiambie Lafamilia ni morefire π₯π
Next patient please ingia tu usibishe mlango uko wazi Embakasi United Fc Official πππ kumbuka ni hapa Iduna Park
15/06/2026
Teboo ndio hii π₯
FKF Nairobi East County Branch
14/06/2026
π
πππ ππππ π¨
Utawala Youth Fc 0οΈβ£-1οΈβ£ Kamongo FC
β½ Maxwel Makokha
Walisema ni kwao, tukawaonyesha mwenye title deed na Maxxy akachukua depositπ€£
Points zote zinasafiri na landlord...
14/06/2026
β½ GOAL!!!
Maxwel ameanza mapema k**a landlord akifungua nyumba yake mwenyeweπ
Watawalwa 0οΈβ£ - 1οΈβ£LaFamilia
Rent imeanza kukusanywa π€£
14/06/2026
FIRST 11
Tunatawala Utawala Youth Fc
13/06/2026
ππππππππ
π | Utawala Youth Fc / Lakewood
π | Today - Sunday, 14th June
β | 4 P.M.
ποΈ | Kincar Grounds
Utawala Youth ni wenyeji, lakini landlord akifika mwenye nyumba hunyamazaπ€£
Kesho Kincar Grounds tunakuja kukusanya rent.
FKF Nairobi East County Branch
13/06/2026
Goal Machine..
Headache na stress kwa defenders
Maxwel Makokha
13/06/2026
Utawala Youth Fc cc Lakewood huu ni mchezo gani π
Kesho kuna swali mtanijibu naona mmeamua k**a mbaya mbaya...
12/06/2026
ππππ πππππ
π | Utawala Youth Fc / Lakewood
π | Sunday, 14th June
β | 4 P.M.
ποΈ | Kincar Grounds
Wenyeji ni Utawala, lakini landlord wa match ni Lafamiliaπ
FKF Nairobi East County Branch
| |
12/06/2026
NEXT MATCH
Utawala Youth Fc ama whatever you call yourself Sunday tunakuja hapo Kincar for one reason, TO CONQUER and then destroy you at your territories βοΈ
Saa kumi kamili itakuwa mbayaaπͺ