27/08/2026
Hivi ndivyo droo ya Kombe la masikio kubwa la Uefa Champions League imeratibiwa.
Na hivi ndivyo vilabu vya Uingereza vitakavyomenyana.
Timely updates on Sports News and events happening in Kenya and world at large
27/08/2026
Hivi ndivyo droo ya Kombe la masikio kubwa la Uefa Champions League imeratibiwa.
Na hivi ndivyo vilabu vya Uingereza vitakavyomenyana.
25/08/2026
Chelsea hapo jana usiku waliwalima Fulham kwa mabao 3-2 uwanjani Craven Cottage.
Kufuatia mechi hiyo ya jana usiku, hivi ndivyo jedwali la EPL linavyosimama hadi sasa.
23/08/2026
Haya ndio matokeo kamili ya mechi za EPL zilizochezwa hii leo.
22/08/2026
Matokeo mengine ya mechi za EPL zilizochezwa mapema leo.
22/08/2026
Man United wamepokea kichapo kitakatifu cha mabao 2-0 kutoka kwa Hull City uwanjani MKM Stadium.
Mabao yote mawili ya Hull City yalifungwa na madifenda katika ungwe ya kwanza.
21/08/2026
Mabingwa Arsenal wamefungua msimu wa 2026/27 kwa kishindo baada ya kuwatandika Coventry City kwa mabao 3-0 ugani Emirates.
Hii ndio mechi ya kwanza ya Ligi ya Uingereza msimu huu 2026/27.
16/08/2026
Arsenal hii leo wamewapepeta Man City kwa mabao 3-0 ugani Wembley.
Mechi hiyo ilikuwa ni ya ngao ya jamii inaashiria ufunguzi wa ligi wiki ijayo.
12/08/2026
PSG ndio washindi wa Kombe la Super Cup baada ya kuwadengua Aston Villa kwa mabao 2.2 ugani Red Bull Arena mjini Salzburg.
Mechi hii ya jadi unawakutanisha washindi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya na Ligi ya Europa.
23/07/2026
Arsenal wamekamilisha usajili wa Christos Tzolis kutoka Club Brugge kwa kima cha £34m.
Winga huyo amejiunga na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka mitano na atavaa jezi namba 17 katika Uwanja wa Emirates.
Ni sura mpya katika kikosi cha Mikel Arteta huku mabingwa hao wa EPL wakiendelea kujiimarisha kwa ajili ya kutetea taji lao.
19/07/2026
Sasa ni rasmi Uhispania ndio mabingwa wa Kombe la Dunia 2026.
Hii ni baada ya mabingwa hao wa Bara Ulaya kuwadengua Argentina kwa bao 1-0 katika muda wa ziada.
Uhispania wameshinda Kombe la Dunia kwa mara ya pili sasa tangu waliposhinda mwaka 2010 wakiwa Afrika Kusini.