KWALE FKF

KWALE FKF

Share

π–πžπ₯𝐜𝐨𝐦𝐞 𝐭𝐨 𝐭𝐑𝐞 𝐨𝐟𝐟𝐒𝐜𝐒𝐚π₯ 𝐩𝐚𝐠𝐞 𝐨𝐟 𝐊𝐰𝐚π₯𝐞 π…πŠπ… 𝐁𝐫𝐚𝐧𝐜𝐑.

09/03/2026

Ofisi ya FKF Tawi la Kwale inapenda kutoa shukrani za dhati kwa Waziri wa Madini, Mheshimiwa Hassan Ali Joho, pamoja na viongozi wengine wote waliojitokeza na kuchangia katika harambee ya kuisaidia klabu sita za Kaunti ya Kwale.

Kupitia juhudi zenu, jumla ya Shilingi Milioni 5.8 zilifanikiwa kukusanywa kwa ajili ya kuziunga mkono timu hizo katika maendeleo ya soka la eneo hili.

β€œShukrani za pekee kwa Mheshimiwa Hassan Ali Joho kwa kuongoza harambee ya kusaidia timu 6 na kufanikisha kukusanywa kwa KSh 5.8 Milioni. Mchango wako katika maendeleo ya michezo unathaminiwa sana.”

Asanteni sana kwa kuendelea kuunga mkono maendeleo ya soka la Kwale. βš½πŸ‘

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Kwale?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


1598
Kwale