Mwamdudu United FC

Mwamdudu United FC

Share

This is the official page of Mwamdudu United Football Club est. in 2019 in Kasemeni Ward, Kinango Subcounty, Kwale County in Kenya.

The main aim of the club is to identify and nature talent and well being amongst youth and a tool against social vices.

20/08/2026

Haya kindumbwe ndumbwe cha Mwaka tayari kishaiva! Wageni karibuni ila Mujue, Mwamdudu haipigwi mtu na haiachwi mtu!

15/01/2026

Ishow Speed alikuja Mwamurina Stadium, Tatizo Hamkumuona!!!

05/01/2026

ya Dzivani Mshindi ety alipewe 3K 🤣🤣🤣

Please kila kona! Ila nasemaje: Majuto ni Mjukuu, Huja Baada ya Tukio!

04/01/2026

Jamaa ni Raha, Yaani Ndani Ya Mwezi Mmoja Nimebeba Makombe Mawili! Na si kikombe tu, kila Player wangu akapata Medani ya Shaba na tukapewa Hela Ndefu na Full Jersey! Asanteni Waandalizi! Asanteni Wadhamini! Magwaya Ndani k**anza Ngalaa Berumba Harrison Mangale mwachidzo

03/01/2026

Mazeras walitusak**a saaana lakini k**a mjuavyo, HATUPIGI MTU NA HATUACHI MTU! Tulipata Nafasi Moja na Tukaitumia Vizuri!!!
Sisi ndio Mabingwa wa iliyoandaliwa na !!!!!
Asanteni Mashabiki Kwa Sapport, Asanteni Wapinzani kwa Ubishi!!!!

02/01/2026

Hakuna mtu hakujia kwamba jana ilikua ni Harusi kati yangu na mchumba wangu SUPER ZIMENZU FC! Tatizo mchumba alikataa kuja Kanisani! Padri akasema, ā€œNANI KATI YENU YUPO TAYARI KUFUNGA NDOA NA ?ā€ wakasema tupo Tayari sisi, Kwa shida kwa Raha! Tukazipiga, zangu ama Zake! Na ulikua mziki mgumu, lakini k**a kawaida yangu: SIPIGI MTU,SIACHI MTU! Kimoja Cha Uhakika? Nikalibeba Kombe! Sasa angebeba Mazeras jana na vile alikua ametusak**a, Saa Hii Mngesemaje??? Fixture kutoka Mwezi wa 11, Ilisema Harusi ni 1/1/2026 mpaka Serikali Ikajulishwa!!!
Makosa Yangu ni Nini???

Photos from Mwamdudu United FC's post 30/12/2025

Hatimae inafikia kileleni siku ya alhamisi ambapo MSHINDA WA kwanza Hadi wa tatu atajulikana hio alhamisi hii nayo sio ya kukosa....njoo ujishuhudie mwenyewe na macho yako bila ya kusimuliwa na mtu......

Weka ubashiri wako na mapema ,je mshindi WA kwanza itakua timu gani na bao ngapi ?

Mshindi mmoja atajishindia credit ya mia (100)

MASHART hakikisha comment yako Iko na likes nyingi na hakuna ku edit comment..

mchezo utachezwa uga wa Mwamdudu uga wa

28/12/2025

: Hon. Aisha Jumwa Katana aomboleza Kifo cha Mamake Mzazi 😭

26/12/2025

Itabidi muzoee hii timu! Inaitwa Mwamdudu United FC

26/12/2025


QUARTER FINALS
FULL TIME
SISI 2 VS SEA FLAMES FC 0

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Kwale?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Mwamdudu
Kwale