Red Stars FC

Red Stars FC

Share

Welcome to the official page of Red Stars FC. Currently participating in FKF Division II Northern Zone League.

Champions of Coast Regional League 2024/2025🏆🥇
Based in Rabai, Kilifi County.

04/08/2026

GK k**a GK🔥
Watapata taabu Sana💪🏽

01/08/2026

Kisumundogo United FC
"Seventeen matches unbeaten" was only possible because you hadn't faced the BIG BOYS yet😄

We are the Reds🔥

01/08/2026

🔴🔵|Update
⏰|2nd half is ON
KD 0:0 Reds

[📸Picha kwa hisani]

29/07/2026

🕊️TAARIFA YA RAMBIRAMBI🕊️

Kwa masikitiko makubwa tunawajulisha kifo cha mwendani na shabiki wetu mpendwa- Baya Hare

Kifo chake kimetuachia simanzi kubwa,
tunatoa pole za dhati kufuatia kifo chake na pia tunamwomba Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Tunawaombea familia, ndugu na marafiki zake wawe na nguvu, faraja na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo.

Nyote mtakaoweza kufika tungane na familia kushiriki katika shughuli za mazishi badae hii Leo.

Pumzika kwa amani Baya.
Utakumbukwa daima!
🕊️

Photos from Red Stars FC's post 19/07/2026

🚨FULL TIME!

1 point earned!
Focus shifts to the next!
Hosting INTER Dabaso FC on 25th Sat
[Kuwakumbusha Tu!..Kuwakumbusha Tu!!]

19/07/2026

🚨SIKU YA MECHI😋
Kumekucha ni siku nyengine Alhamdulillah🤲🏽
Leo mwingi Sana tutaucheza pale vile the MIGHTY MULI gd. ama ukipenda Màlïñdï Hïgh Sçhøøl ikiwa tunawakabili wenyeji YANGA Football CLUB -Malindi .

09/07/2026

🚨TAARIFA KWA MASHABIKI WETU WOTE

Kwa sababu zisizoepukika, tunasikitika kuwataarifu kuwa mechi yetu ya ugenini dhidi ya Wayzata Boys FC imeahirishwa.

Tunaomba radhi kwa hilo;
Hata hivyo, tunaendelea na maandalizi ya mechi yetu ijayo ya ugenini bado itakayochezwa Jumapili, Julai 19, ambapo tutavaana na YANGA Football CLUB -Malindi .

Kwa mashabiki wote wanaotaka kufika Malindi na kuipa timu psyche Kuna nafasi 10 za usafiri zimesalia.
🎟️ KSh 1,000/- only

Kwa maelezo zaidi au kuhifadhi nafasi yako, wasiliana na Grapher

09/07/2026

Baada ya funga kazi Jana Kule ugenini kwa TUNGULE🔮 tulikomuacha hoi bin taaban Matanomane youth fc kwa kumpa kimoja, sasa focus tunaitupia kwa watoto wa Mama Fatuma.
Jumamosi hii ngoma itarindima pale vile Nyumbasita stadium- kaunti jirani ya Kwale dhidi ya Wayzata Boys FC.
Kwa mengi na updates zaidi usikae mbali na page!

08/07/2026

🚨| MID WEEK FIXTURE
⏰|FT
Matanomane youth fc 0:1 Red Stars FC

05/07/2026

Junior FC Wundanyi: Sitaki tena mm nataka kwenda zangu.
Red Stars FC: Hauezi niacha ivi, we ukienda najua haurudi Leo wala Kesho!

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Kilifi?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Rabai
Kilifi