21/08/2026
Hii combination ni noma sana👉👉🦾
Ukurasa maalum wa yanga
21/08/2026
Hii combination ni noma sana👉👉🦾
Happy follow-versary to my awesome followers. Thanks for all your support! Latifa Happe
22/07/2026
SALAMANDER TOWER
Rais wa Klabu yetu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika (ACA) na Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Vilabu FIFA, Eng.Hersi Said amemkaribisha rasmi Kocha Mkuu wa Klabu yetu Manqoba Mngqithi pamoja na benchi lake la ufundi nyumbani kwa Mabingwa wa kihistoria.
Tunawatakia kila la heri katika safari hii mpya ya kuendelea kuijenga na kuipeleka Klabu yetu kwenye mafanikio makubwa zaidi.
22/07/2026
Habari za asubuhi wananchi mko nyie 🔰🏆
05/02/2026
📍Rabat, Morocco🔰💪🏽
17/01/2026
Soon
Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Maximillian Tungaraza, Hatibu Mchevu, Zakia Omary, Amanory TZ, Jeremiah Msindo, Zuhura Mgomba, Steven Afred, Obedi Mnadi, Alhakir Malik, Mponda Shaibu, Philo Zakari, Edwini Joseph Ngonyani, Juma Saidi, Sudi Ahidan, Jonna Boy Tz, Kabuche Lugangiza, Hatibu Ally, Thabiti Gwiji, Hashim M***a, Yasini Chai, Frazier Zombe, Jafari Kaombwe, King Zilla, Abdul Mligo, Bakari Sopolo, Amos Paulo, Patric Malale, Mrisho Rashid Mwishehe, Nyaga Nyaga, Kasabuni Lukanda, Isack Moshi, Laity Ernert, Abubakar Kambi, Lauden Mwakabuku, Let Kajibwa, Richard Mganga, Joseph Maliselo, Kuneta Manyanza, Elikana Petro, Jemima Meshack, Kelvin Gerard, Champion Kcalo, Anaf Halid, Sadiki Nandenga, Frank Joseph, Anna M***a, Fatuma Daudi, Brown Ulambale, Shukulu Ramadhani, Festo Ndikwege
20/12/2025
Petro de Luanda is now an official member of the African Club Association (ACA)
Petro de Luanda est désormais un membre officiel de l’Association des Clubs Africains (ACA) Kinachosimamiwa na Engineer Hersi Alli Saidi
13/12/2025
Nyota wa zamani wa Yanga Chico Ushindi amefariki leo hii huko kwao Lubumbashi,Congo DRC 🇨🇩.
Nyota huyu amewahi ichezea TP Mazembe kisha Yanga na wakati huu alikuwa anaichezea Klabu ya Bazano ambayo inashiriki Ligi Kuu ya Congo.