Michezo Only

Michezo Only

Share

Michezo Only

⚽ Michezo Only – Habari za Soka na Michezo kwa kila kipimo!
🏆 Updates, Reels na uchambuzi wa timu zako unazozipenda
🔥 Tazama, Shirikisha & Jiunge na wapenzi wa michezo

Photos from Michezo Only's post 31/07/2026

🚨 RASMI

✅: Inter Miami imezindua jezi yake ya tatu kwa msimu wa 2026/27.

1XBET
CODE PROMO :: E1998
BONUS :: 300%

Photos from Michezo Only's post 31/07/2026

🚨 RASMI

✅Borussia Dortmund imezindua jezi yake ya tatu kwa msimu wa 2026/27. 💜👕

1XBET
CODE PROMO :: E1998
BONUS :: 300%

31/07/2026

Mchezaji mmoja atalazimika kuondoka Real Madrid ikiwa klabu itataka kumsajili Rodri.

✅️Kwa sasa, nafasi zote katika kikosi cha Real Madrid zimejaa.

1XBET
CODE PROMO :: E1998
BONUS :: 300%

30/07/2026

🚨 IMEKAMILIKA

Straika wa Uhispania na Levente UD Carlos Espi amesaini kujiunga na Real Madrid kwa ada ya uhamisho ya milioni 25 na mkataba utao mfikisha hadi msimu wa 2031.

1XBET
CODE PROMO :: E1998
BONUS :: 300%

30/07/2026

Cesar Palacios amekubali kujiunga na Fulham akitokea Real Madrid, pamoja na Gonzalo García.

✅️Ada ya uhamisho ni euro milioni 10, huku Real Madrid ikibakiza asilimia 30 ya mauzo ya baadaye na pia ikiwa na haki ya kulinganisha ofa yoyote endapo Palacios atauzwa siku zijazo.

✅️Palacios alikataa ofa kutoka klabu za Italia ili kujiunga na Fulham.

✅️Kocha Álvaro Arbeloa sasa amewapeleka wachezaji wawili kutoka Real Madrid kwenda Fulham.

1XBET
CODE PROMO :: E1998
BONUS :: 300%

30/07/2026

RASMI

Eddie Howe ameondoka Newcastle United mara moja, na safari yake ndani ya klabu hiyo imefikia mwisho.

✅️Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa, kuondoka kwa Howe kunafungua njia kwa Matthias Jaissle kuwa kocha mpya wa Newcastle United.

✅️Aliiongoza Newcastle kufuzu UEFA Champions League mara mbili.

✅️Aliibadilisha timu kutoka kupambana na kushuka daraja hadi kuwa moja ya timu bora England

✅️Eddie Howe aliipa Newcastle United Kombe la Carabao (EFL Cup) mwaka 2025, baada ya kuifunga Liverpool 2-1 kwenye fainali ya Wembley.

Hilo lilikuwa:

🏆 Taji la kwanza la Newcastle baada ya miaka 56 bila kombe lolote.

🏆 Taji lao la kwanza la ndani baada ya miaka 70, tangu waliposhinda FA Cup mwaka 1955.

1XBET
CODE PROMO :: E1998
BONUS :: 300%

30/07/2026

RASMI

Lionel Messi ameanza kazi tena baada ya kombe la Dunia kukamilika kwa sasa amerudi tena mazoezini kwa ajili ya msimu mpya na Inter Miami hakuna kumpuzika.

1XBET
CODE PROMO :: E1998
BONUS :: 300%

30/07/2026

RASMI

Maxence Lacroix ametambulishwa rasmi k**a mchezaji mpya wa Chelsea.

1XBET
CODE PROMO :: E1998
BONUS :: 300%

30/07/2026

🚨 RASMI

Marcus Rashford ameaga klabu ya FC Barcelona! 💙❤️👋

"Ninawashukuru sana kila mmoja ndani ya klabu kwa kufanya kipindi changu hapa kuwa uzoefu mzuri na usioweza kusahaulika.
Nimefurahia kila dakika niliyokuwa hapa, na nitaondoka nikiwa na kumbukumbu nyingi za thamani.

Naikitakia klabu pamoja na mashabiki wote kila la heri katika msimu ujao na mafanikio makubwa. Visca el Barça!"

1XBET
CODE PROMO :: E1998
BONUS :: 300%

30/07/2026

Gonzalo García ameondoka Real Madrid na amesaini Fulham kwa ada ya uhamisho ya euro milioni 42.

✅️Atakwenda kufanya kazi tena chini ya kocha wake wa zamani, Álvaro Arbeloa.

1XBET
CODE PROMO :: E1998
BONUS :: 300%

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Rumonge?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Rumonge