GOAT 🐐 LIONEL MESSI 🙌🏽🐐 MPIRA HAUKUDAI
Bobby Sports
Kwa Update Nyingi Sana Za Soka La Ulaya NA Africa,Tetesi ,Matokeo Na Habari Nyingi Zinazo Husu Soka⚽
03/09/2026
🚨 Mshambuliaji wa PSG 🇫🇷 na timu ya Taifa ya Spain 🇪🇸 Ferran Torres ameweka wazi kuwa uamuzi wake wa kuondoka Barcelona na kujiunga na Paris Saint-Germain akisema ni hatua kubwa sana katika ustawi wa taaluma yake ya soka.
"Uamuzi wangu wa kujiunga na PSG ni HATUA KUBWA katika taaluma yangu. Nimesogea mbele zaidi"
Mashabiki wa Barcelona hawajaridhishwa na kauli ya mshambuliaji huyo wakiamini kuwa amewakosea na anapaswa kuomba radhi.
Yale yale ya Enzo Fernandez na Chelsea, yameenda kwa Ferran Torres na Barcelona 😂
FOLLOW US
03/09/2026
🇧🇷Estevão amewaambia watu wake wa karibu kwamba anahisi hatapata nafasi nyingi za kucheza chini ya Alonso.
Anapendelea kucheza katikati, na hatapenda kushindana na Neto kwenye nafasi ya pembeni kwa sababu atalazimika kuongeza uzito wa misuli, jambo ambalo anaamini litapunguza uwezo wake wa kusogea kwa wepesi na kuathiri mtindo wake wa uchezaji.
Estevão anaipenda Chelsea na anataka kuendelea kubaki klabuni hapo, lakini k**a hatapata nafasi nyingi za kucheza, kuna uwezekano akaanza kufikiria kuhusu kuhama mwezi Januari.
(Renato Senise kupitia ESPN Brasil)
FOLLOW US
03/09/2026
Viongozi wa Young Africans Sports Club walijaribu kuwasiliana kwa mara ya kwanza na Mwandishi nguli wa Michezo duniani kutoka nchini Italia Fabrizio Romano (33) kuona k**a kunauwezekano wakutangaza jezi zao. Masharti aliyowapa yalikua hivi. K**a Young watahitaji Fabrizio apost kwenye mitandao yake mikubwa ikiwemo Instagram na Twitter, basi Young watoe kiasi cha USD 1Million ambazo ni zaidi ya Billion 2 za kibongo.
Young wamefanya Bargaining hadi USD 200k ndipo mwamba akawaambia akawaambia hakuna shida ila jambo lenu nitaliachia Live na Ista story.
FOLLOW US
03/09/2026
Huyu Fabrizio wa siku Hizi nae kuna Watu watasema njaa tuu 😅 Wengine washamuita Chawa 🙌🏽🤣
ILA YANGA DAH
03/09/2026
🚨 Gabriel Jesus 🇧🇷: “Nilikubali kupunguziwa mshahara ili niwe hapa. 💙❤️
Lakini kwangu, jambo muhimu zaidi ni kupata nafasi ya kucheza Barça.
Ni fursa ambayo sikutarajia kuwa nayo mwezi mmoja uliopita.”**
FOLLOW US
02/09/2026
BREAKING 🔵: Klabu ya Chelsea FC imefanya mawasiliano masaa machache yaliyopita na mchezaji wa zamani wa Liverpool FC raia wa Uholanzi 🇳🇱 Georginio Wijnaldum ili wamsajili k**a mchezaji huru.
Kwasasa Wijnaldum hana timu yoyote....
Source: [ SaintJ_FM ]
FOLLOW US
02/09/2026
Filipe Luis ameipa PSG sifa kubwa, akisema Monaco wanakutana na “moja ya timu bora zaidi katika historia ya soka.”
Aidha, amemtaja Luis Enrique kuwa “kocha bora zaidi duniani”, akimsifu kwa uwezo wake wa kuongoza kikosi, haiba yake na namna anavyosimamia klabu kubwa.
“Namuheshimu sana Luis Enrique. Anaonyesha wengine jinsi ya kusimamia wachezaji na kuongoza timu kubwa,” alisema Filipe Luis.
FOLLOW US
02/09/2026
🏆 Viwango vya nguvu vya Ballon d’Or 2026 kulingana na Independent:
1. 🇪🇸 Rodri
2. 🏴🇬🇧 Harry Kane
3. 🇪🇸 Lamine Yamal
4. 🇫🇷 Kylian Mbappé
5. 🇦🇷 Lionel Messi
6. 🇫🇷 Ousmane Dembélé
7. 🇳🇴 Erling Haaland
8. 🏴🇬🇧 Jude Bellingham
9. 🇫🇷 Michael Olise
10. 🇧🇷 Vinícius Júnior
👀 Je, unakubaliana na viwango hivi?
FOLLOW US
02/09/2026
🚨 RASMI! PIERRE-EMERICK AUBAMEYANG AMETANGAZA KUSTAAFU KUSHIRIKI TIMU YA TAIFA! 👋🇬🇦
Waliwahi kunibeza na kulichafua jina, licha ya kuwa nilicheza AFCON nikiwa nimeumia. Hili ndilo lililofanya uvumilivu wangu ufike mwisho, hivyo nimeamua kuishia hapa.” 😔
FOLLOW US
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Kayanza Street
Bujumbura