McGarćia

McGarćia

Share

EDIBILY NDAWALA🥰. NJOMBE FINEST; SAUT GRADUANT 2025.

31/08/2026

Sheria mbaya zaidi kwenye soka? 🤔
Mimi: Sheria ya bao la ugenini (Away Goal Rule) 😭

Wewe: _____?

31/08/2026

💥 Libasse Gueye
5 Matches
5 Assists 🅰️🅰️🅰️🅰️🅰️
1 Goal ⚽
6 G/A
💪💪💪🙏🙏🙏

Mr. MVP. Simba material 💁

31/08/2026

Hakuna kiungo wa timu za Dar es Salaam anayefanya vizuri kwenye viwanja vya mikoani, ambavyo mara nyingi havina ubora mkubwa, k**a Mudathir.

Ana uwezo wa kuendana na mazingira magumu ya uwanja, huku ubora wake wa kiuchezaji ukiendelea kuonekana licha ya changamoto za pitch.

Pale Young Africans Sports Club huyu ni zaidi ya mchezaji

31/08/2026

Jeshi lilelile green and yellow 💚💛 utofauti ni nchi

Young Africans|JS Kabylie

Alphonce Mabula 🇹🇿

29/08/2026

Baada ya michezo 4, Yanga imekusanya pointi 12/12 na inaongoza kwa Goal Difference ya +11. 🔥

Mwanzo bora, kasi kubwa! Hongera Young Africans Sports Club kwa kuendelea kuonyesha ubora. 👏💛💚

🏆 Ligi Kuu

29/08/2026

Ismaël Olivier Touré, Cheikh Ibrahima Tourè.. 🇨🇮|🇫🇷.

Simba SC, Young Africans 🤩

28/08/2026

Jamaa ni passer mzuri sana, nimemuelewa 🥰. Lakini nikikumbuka kuwa yeye ni namba 6 na sio 8 narudi tena halmashauri kujiuliza 🤔

Kazi yake ya msingi ni kukaba; binafsi sijaona k**a amejihusisha na kukaba muda mwingi; nimebahatika kumuona akifanya ball recovery moja tu, ya pili alijaribu Lakini akaishiwa kuadhibiwa 🟨

Nahitaji mchezo mwingine mkubwa, mgumu kuendelea kupima uthabiti wa Dulvan Ngoma kwenye eneo la kiungo cha ulinzi

Young Africans v Pamba Jiji FC. Ligi Kuu

28/08/2026

K**a itampendeza Manqoba Mngqithi basi leo kijana apate angalau dakika 30 tu 😢

Eric Mwijage; Leo ni Young Africans Sports Club v Pamba jiji FC 🥴

🍹 Ligi Kuu

28/08/2026

Juma Abushiri=Lamine Yamal

Young Africans, FC Barcelona

28/08/2026

Achana na hizo mechi zenu mnazozitamani zitokee; mimi yangu ni hii.. Mamelodi Sundowns v Young Africans tena iwe nusu fainali TotalEnergies CAF Champions League 😃

Natamani iwe msimu huu. Kwanini? Msimu huu naona kabisa Performance-wise hawapo vizuri, hususani eneo lao la kuzuia.Michezo 06 ya mwisho wameruhusu goals 08 😳.

Achana na madhaifu yao, naitazama Yanga SC yenye mkusanyiko wa wachezaji wenye ubora mkubwa mpaka wale waliopo benchi. Lakini pia kuna wataalam wengi sana kwenye benchi ambapo wanalifahamu soka la Afrika kusini na wanaifaham Mamelodi Sundowns. Hizo ni silaha nyingine muhimu.

Wakati wa kulipa kisasi🥶

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Bloemfontein?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Bloemfontein