12/02/2025
🚨🆕 Marc Cucurella kuhusu uhamisho wake ulioshindwa kwenda Manchester City mwaka 2022:
"Walikuwa na moto, moja ya timu bora zaidi duniani. Nilitaka sana kwenda. Wanapokuja wakipiga simu k**a walivyofanya, Guardiola anapokuuliza, ungepiga magoti ikiwa ungelazimika kufanya hivyo.
Lakini vilabu havikuweza kufikia makubaliano. Brighton ilikuwa na madai makubwa, na haikuwezekana."
[kupitia Informe Plus ]
Admin mkuu Benjamin Abisemba
12/02/2025
💣| BREAKING NEWS 🗞️ :
Zidane ndiye chaguo pekee la Real Madrid ikiwa klabu itapendelea kubadilisha kocha katikati ya msimu.
✅🇫🇷
Admin mkuu Benjamin Abisemba
12/02/2025
Breaking news 🗞️
🇪🇨 Arsenal wamefikia makubaliano na Independiente Del Valle (klabu ambayo Hincapié, Caicedo, na Pacho wametokea) kwa ajili ya kusaini mapacha Edwin na Holger Quintero wenye umri wa miaka 16.
Mkataba huo utaanza mwaka 2027, katika siku yao ya kuzaliwa ya 18.
Chanzo :
Admin mkuu Benjamin Abisemba
07/17/2023
Jumamosi July/22/2023
Match :
FFU vs Ujanja FC
09/26/2022
💬 “Nini kinamtokea Mwamnyeto? Sifahamu. Ninachojua anapitia wakati mgumu. Hachezi vizuri. Ana makosa mengi. Ukabaji wake pia ni duni. Haishangazi kuona Kocha Nabi kwa sasa analazimika kumrudisha Bangala kucheza sambamba na Job katika nafasi ya beki ya kati.”
- Edo Kumwembe.
Admin mkuu Benjamin Abisemba
09/26/2022
Kocha Nabi ashtushwa kufungiwa Morrison
“Nilipata hizo taarifa zilinikuta nikiwa mezani na familia, ziliniumiza sana, kwa mechi zilizo mbele yetu Kocha yoyote angependa kuwa na wachezaji wake wote. Kuna kitu ambacho huwa Kinanishtua sana naona k**a timu yangu inaandamwa sana”😬
Admin mkuu Benjamin Abisemba
07/22/2022
Uwanja wa klabu ya Atletico umebadilishwa jina lake na kuitwa sasa CIVITAS METROPOLITANO badala ya Wanda Metropolitano.🇪🇸
Admin mkuu Benjamin Abisemba
07/22/2022
"Wakati Nchi yetu inataka kurudisha mchakato wa katiba mpya, nadhani hata pale (TFF) nako tutafute katiba mpya"
"Mamlaka ya (TFF) hayapaswi kuvuka mipaka ya Nchi. Mnamfungia hadi nje ya Nchi kwa sheria ipi ?"
"Mara mama kamteua (Manara) kuwa Mbunge, mara mama kamteua tena kuwa Waziri wa michezo !"
"Kifungo cha miaka miwili na faini ya Tsh 20 Milioni, ni adhabu iliyojaa chuki na kukomoana"
"Kuanzia aliponyimwa tuzo ya mhamasishaji bora, inakupa picha ya moja kwa moja juu ya chuki ya watawala wa mpira wetu dhidi yake"
-Mchambuzi wa soka,Oscar Oscar Jnr
Admin mkuu Benjamin Abisemba
07/22/2022
Kiungo wa klabu ya Simba Sc 🇹🇿 Pape Ousmane Sakho 🇸🇳 ameshinda tuzo ya goli bora la CAF.
Goli hilo alifunga dhidi ya Asec Mimosas katika mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.
Admin mkuu Benjamin Abisemba