03/12/2022
Kufulahi ni jambo kubwa maishan asante mungu
Simba mpo poah
Sports
03/12/2022
Kufulahi ni jambo kubwa maishan asante mungu
Simba mpo poah
01/09/2022
Mfungaji bola EPL msimu huu je wewe unambashili yupi
01/09/2022
HIVI YANGA MNACHOFANYA HAMJUI TFF MNAWAKELA
31/08/2022
"TFF haina huruma kwa Yanga nahisi lengo lao ni kuhakikisha msimu huu Yanga inakosa Vikombe muhimu.
Mwezi Septemba Ndani ya Siku 11 Yanga ina Mechi 4 ngumu sana, Mbili za Ligi na Mbili za CAF CL.
Tarehe 6 VS Azam
Tarehe 10 VS Zalan
Tarehe 13 VS Mtibwa Sugar
Tarehe 17 VS Zalan
31/08/2022
Hivi mashabiki wa Chelsea Football Club mko wap
31/08/2022
.... Mkitaka (FFT) isiwaonee Yanga, acheni kushindashinda kila mechi.
Mkiendelea kushindashinda kila mchezo hasa michezo mikubwa Nchini mnawaudhi watu, maumivu mnayosababisha mtayalipa kwenye k**ati, mtanyooshwa huko 😆
Nyie si viburi, tukutane kwenye k**ati 🤪
30/08/2022
"Mimi siyo Bondia oya oya k**a hao wengine mnaowashabikia,"
,Hassan Mwakinyo.
30/08/2022
30/08/2022
NENO MOJA KWA JEZI HII
29/08/2022
YUPI TISHIO
KWA SASA COMMENT