16/07/2026
๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐.
๐ Chamou Karaboue.
๐ Naby Camara.
๐ Edwin Balua.
๐ Joshua Mutale.
๐ Awesu Awesu.
๐ Omari Omari.
๐ Moussa Camara.
OFFICIAL_PRINCE_HAFIDH๐คด๐ค๐๐ง๐ท๐ง๐ท
16/07/2026
๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐.
๐ Chamou Karaboue.
๐ Naby Camara.
๐ Edwin Balua.
๐ Joshua Mutale.
๐ Awesu Awesu.
๐ Omari Omari.
๐ Moussa Camara.
23/03/2026
IRAN ๐ฎ๐ท kupitia Ukurasa wa Operation True Promise 4 wamepost kuwa huo ndio Ujumbe wa Maridhiano na ndio unaondoka kuelekea kufanya maridhiano mengine yenye tija.
Sasa Orodha ya Wajumbe ni Majina ya Makombora yao.
23/03/2026
IRAN YAKANUSHA KUFANYA MAZUNGUMZO NA TRUMP, WASEMA USIKU WA LEO โMARIDHIANOโ YATAENDELEA ANGANI.
Tehran, Iran ๐ฎ๐ท
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekanusha kufanya mazungumzo yoyote na Marekani na alichokiandika Rais wa Marekani wanadai sio cha kweli, Iran wanasema hakuna maridhiano yatafanyika bila wao kutimiza malengo yao ya kivita.
Aidha Iran inasema wanaelewa mbinu za Trump kujaribu kushusha bei ya mafuta lakini pia kupata muda wa kujiandaa Kijeshi kitu ambacho wao hawatompa nafasi hiyo zaidi ni kuwa wataendelea kushambulia.
Wizara inasema maneno ya Trump ni kumeza Matapishi yake mwenyewe ila kwa upande wao hakuna chochote kilichobadilika na Mlango Bahari wa Homuz utaendelea kufungwa kwa wote ambao wapo upande wa Marekani pamoja na Marekani yenyewe.
Wakati hayo yakijiri ukurasa rasmi wa Operation True Promise umechapisha kuwa Mazungumzo ya Amani yataendelea kwa Makombora usiku wa leo.
23/03/2026
TRUMP AAHIRISHA MASHAMBULIZI DHIDI YA IRAN KWA SIKU 5
Rais wa Marekani Donald J. Trump ametangaza kuwa Marekani na Iran zimefanya mazungumzo yenye mafanikio kwa siku mbili mfululizo, yakilenga kumaliza kabisa uhasama uliopo katika eneo la Mashariki ya Kati.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mazungumzo hayo yameelezwa kuwa ya kina, yenye kujenga na yenye mwelekeo mzuri, huku yakitarajiwa kuendelea kwa siku kadhaa zijazo ili kufikia muafaka wa kudumu.
Kutokana na hali hiyo chanya, Rais Trump amesema ameagiza kuahirishwa kwa mashambulizi yoyote ya kijeshi yaliyokuwa yapigwe dhidi ya miundombinu ya nishati ya Iran, ikiwemo vituo vya umeme, kwa kipindi cha siku tano.
Amesisitiza kuwa uamuzi huo unategemea mafanikio ya mazungumzo yanayoendelea, huku akionyesha matumaini ya kupatikana suluhisho la kudumu kupitia njia ya diplomasia.
16/03/2026
Waziri Mkuu wa Israel ๐ฎ๐ฑ Benjamin Netanyahu ameonekana tena hadharani leo Machi 17, 2026 akiwa pamoja na wananchi katika moja ya maeneo ya kijijini nchini humo.
Kuonekana kwake kunakuja siku chache baada ya kusambaa kwa tetesi kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa huenda kiongozi huyo amefariki au video zake zinatengenezwa kwa kutumia teknolojia ya Akili Bandia (AI).
Baadhi ya watu mitandaoni bado wanaendelea kutilia shaka video zake wakidai huenda ni deepfake, ingawa maafisa wa Israel wamesisitiza kuwa video hizo ni halisi.
Je, bado unaamini video zinazozunguka mtandaoni ni za AI au unaamini kabisa kuwa Netanyahu bado yuko hai?
Fungua comment kuangalia Video ๐น
16/03/2026
Kuna kitu nime tafakari nimecheka sana hawa ndugu zetu maamuma wanaosema hii ni video ya kutengeneza ya AI na ni ya mwaka 2024 , Ila cha ajabu kwenye hii video waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ana ongelea mashambulizi ya Israel kwa Iran .Na namna wanavyomtakia yeye kufa na Israel inavyofanikiwa kwenye vita hivyo na hapo ndipo nagundua hawa ndugu zetu uwezo wao wa akili upo chini mno , Yani video ya 2024 iongelee vita ya 2025 na bahati mbaya zaidi hakuna hata mmoja kati yao anayesh*tukia juu ya jambo hilo . Na hapo ndipo najua ni kwanini Bwana wetu Yesu Kristo alisema mshike sana elimu usimuache aende zake kwa maana yeye ni uzima wako Naaam
15/03/2026
R.I.P NETANYAU ๐ซฃ๐ซฃ
NGUMU KUKUBALI ILA UKWELI,
Waziri Mkuu wa Israel ๐ฎ๐ฑ Netanyau ni kweli Ameuwawa nakubali Bila Mashaka yeyote Ile.
Ninafuraha kubwa mno Maana katika Mawaziri Waliuwa na kuonea Watu pale Israel ni huyu Namba Moja wao,
Baada ya Shambulio lilofanywa na Jeshi la Iran ๐ฎ๐ท Kwenye Handaki Hadimu na Iliyoamika kuwa ndio ilikuwa Tumaini ya Netanyau basi Hapo ndio Roho yake ilipotwaliwa na Kaka yake wa damu.
Siku ya Tukio Usiku Taarifa za kifo chake kilipostiwa na Mkuu wa sasa Iran ๐ฎ๐ท na Purtin, Rais wa ๐จ๐ณ, na Kim Jong Un wa Korea Kaskazini,
Hadi sasa Ndani ya Page ya Jeshi la ๐ฎ๐ท Iran kumeshaanza kuvuja Video na picha ya mwili NETAPAKA๐๐,,
Waisrael wa Buza kwa MAMA KIBONGE Povu Ruksa sasa.
Auwaye kwa Upanga Atakufa kwa Upanga hii Mwaka 2026 ni Mwaka Visasi kweli hasa Nazidi kuthibisha.
Kwa hiyo Vita ya Israel +Marekani na Iran ๐ฎ๐ท Imeshatafuna Viongozi Wakongwe Wawili waliokuwa Dira ya Mataifa hayo,
Na wote wamezimwa ndani ya Mahandaki,
Japo Baadhi ya vyanzo vya Habari Vinanadi Mzee Madevu Khaminei Hajafa bali ni Majeruhi ๐ na Anatibiwa ๐จ๐ณ kwa sasa.
((NINI MAONI YAKO๐คช๐คช๐ค๐ค))