03/09/2023
Ni vita kati ya simba na al ahly
Nafikili hii ndo mechi kubwa na itakayotazamwa sana na maelfu na mamia ya watu duniani kote
Nafikili hata Al AHLY hajapenda kukutana na simba, ukijaribu kufutilia katika kurasa za club ya Al AHLY comments nyingi za mashabiki wanalia sana baada ya kupangwa na simba
02/09/2023
BREAKING NEWS
Simba imepangwa kukutana na mabingwa wa Afrika, Al Ahly ya Misri katika michuano mipya ya itakayoanza mwezi Oktoba mwaka huu.
Simba itaanzia nyumbani katika mchezo rasmi wa ufunguzi, na mechi zitakuwa ni kwa mfumo wa mtoano zikianzia robo fainali.
Matokeo ya droo kwa mechi zote yako hivi:-
Simba vs Al Ahly.
TP Mazembe vs Esperance
Enyimba vs Wydad AC,
Petro Atletico vs Mamelodi Sundowns
02/09/2023
Mechi ya Kirafiki Leo asubuhi Simba Sc imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Kipanga FC na kuibuka na ushindi wa magoli 3-0.
Wafungaji wa mabao ni:
>Moses Phiri
>Louis Miqquisone
>Aubin Kramo