Zingo Sports

Zingo Sports

Share

A Digital Media Platform, Convey Trusted Sports News, Player's Journey and Life style & we Discover raw Talent.

29/08/2026

Mike Tyson alibeba mkanda wa Dunia akiwa na miaka 20 mwaka 1986 kwa kumpiga Trevor Berbick na kuweka rekodi ya mtu aliyebeba ubingwa wa Dunia akiwa na umri mdogo zaidi.

Leo Moses Itauma mwenye miaka 21 anapanda ulingoni kupigana na Jitu kubwa, Filip Hrgović kutoka Croatia pambano ambalo litafanyika ukumbi wa O² Arena, anaweza kufikia rekodi ya Iron Mike?.

kashajimaliza, anaondoka na Itauma, ametoa sababu zake.

Wewe ni .itauma au ?

29/08/2026
29/08/2026

Wananchi kwani mnataka magoli mangapi? Mtazame huyo dada sasa 😀

28/08/2026

Azam FC wamendondoha alama nne (04) kwenye michezo minne waliyocheza, walitoa sare dhidi ya Polisi Tanzania, na leo wamedondosha dhidi ya Geita Gold.

FT | Geita Gold 2-2 Azam FC.

28/08/2026

Cheikh Toure ameanza kwenye mchezo wa leo dhidi ya Pamba Jiji k**a mshambuliaji namba moja, ametengeneza bao la kwanza la Nzengeli na kufunga bao moja Yanga SC ilkiongoza mabao mawili.

Unampa alama ngapi kipindi cha kwanza?

28/08/2026

Kiungo Mkabaji wa Yanga SC, Fred Duval Ngoma ameanza kwenye mchezo wa leo dhidi ya Pamba Jiji, huku wachezaji wengine k**a Toure na Tshabalala wakijimuishwa.

Yanga SC 0-0 Pamba Jiji.

Game on

26/08/2026

"Tunafanyia kazi ( uwanja wa mazoezi ), kwa wachezaji kuongeza umakini na kuepuka yale ambyo yalikuwa hayaonekani ila hivi sasa yanaonekana ( kipitia video support ), hatufurahishwi na kadi nyekundu k**a benchi la ufundi.

Selemani Matola -Kocha msaidizi wa Simba SC

26/08/2026

Doumbia bado anahitaji huduma nzuri, sio presha anayopewa na mashabiki, Dunia bado inateseka kutafuta namba tisa?.

Wewe unazungumziaje? Mashabiki wanachangia kufanya wachezaji wasiwe na viwango bora?

Maoni?

24/08/2026

Magoli wanne na Clean sheet, mshambuliaji kafunga na Kangwanda kaendelea kuitikisa ardhi ya KMC Complex na Yanga SC wamerejea kileleni.

Mlienda kuangalia mpira au movie?

24/08/2026

HT | Yanga SC 3-0 Jkt Tanzania.

Umeonaje kiwango cha MVP wa zamani wa Zambia, Albert Kangwanda?

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Tanga?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Tanga