Black Ball Boy Label

Black Ball Boy Label

Share

#Taasisi ya kuinua na kusimamia wachezaji wa mpira wa miguu
#Urambo Tabora Tanzania
Cont 0624741735

04/08/2026
Photos from Black Ball Boy Label's post 10/05/2026

🎉 +1 Leo sio tu siku ya kuzaliwa… ni siku ya kushukuru Mungu kwa hatua niliyopiga, vita nilivyoshinda kimya kimya, na ndoto ambazo bado nazifuatilia kwa moyo wote. ❤️

Nimejifunza kuwa maisha hayahitaji kuwa perfect ili uwe na furaha… yanahitaji moyo wa kupambana, kuamini, na kutokukata tamaa. 🙏🏾
Naingia mwaka mpya wa maisha yangu nikiwa na nguvu mpya, akili mpya, malengo mapya, na njaa kubwa ya mafanikio. 📈⚽🔥

Happy Birthday to Me 🥳
Cheers to more wins, more lessons, more blessings, and bigger moves ahead.
Mungu mbele, mengine yatafuata. ✨🖤

09/05/2026

Rate this penalty and blackballboy_label tshirt 👌

Photos from Black Ball Boy Label's post 02/05/2026

Logo ni moja tu mjini 🧨

#

25/04/2026

U*i mtamu huu 🧨

Photos from Black Ball Boy Label's post 22/04/2026

Jezi kali ya BlackBallBoy hii hapa kwa mahitaji Dm kwa bei nafuu kabisa 🎈

Photos from Black Ball Boy Label's post 21/04/2026

C.E.O of BBBL yupo hapa 🎱

#

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Tabora?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

Urambo
Tabora