06/04/2022
Kumbe Kagere ndio mwanzilishi wa kutetema???
Full video gusa link kuangalia👇👇👇👇👇
https://youtu.be/v626gt-uyTk
Karibu katika ukurasa wa Morieti Media ili ufahamu kuhusu ligi kuu Tanzania Bara
06/04/2022
Kumbe Kagere ndio mwanzilishi wa kutetema???
Full video gusa link kuangalia👇👇👇👇👇
https://youtu.be/v626gt-uyTk
25/02/2022
Yanga Ilivyopiga Pira Biriani| Pasi Hamsini Goli. #yanga #ligikuu #ligikuutanzania -------- DISCLAIMERS!!! ---------Copyright Disclaimer under section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for “fair use” for purposes such as crit...
24/02/2022
Shomari Kapombe Goals and Assist This content is both transformative and educational.Video complies content quality section of YOP policies as editing adds creative valueThis which makes the...
Haji Manara aufagilia ushangiliaji wa Fiston Mayele
17/02/2022
Je, Wajua?
Cristiano Ronaldo ndio mchezaji pekee katika historia ya Uefa Champions League Kukosa Penalty mara mbili katika Nusu Fainali na Mara Moja Katika Fainali?
16/02/2022
Uriah Rennie ndio alikuwa referee wa kwanza mweusi kuchezesha Ligi Kuu England.
Katika kipindi cha miaka kumi na mbili uhudumu wake alitoa kadi za njano 543 na kadi nyekundu 40
16/02/2022
Kocha wa Club ya Manchester City Pep Guardiola licha ya kuwa na mafanikio makubwa katika kipindi cha uchezaji wake na katika ukocha wake, lakini kocha huyo anapenda kuwa Model, designer na hii alianza miaka ya 1990' akiwa mchezaji wa Barcelona
Bernard Morrison Apewa Dili Nono Yanga
Kutoka katika gazeti la mwanaspoti limeandika taarifa kwamba Bernard Morrison ameahidiwa dili nono la dola 100,000 (sh230M) kutoka kwa mabosi wa Yanga.