13/08/2026
Club ya Liverpool yenye maskani yake palee England kwenye jiji la Liverpool mwanzoni mwa Mwezi August ilikamilisha dili la kumsajili beki kitasa kutokea palee viwanja vya Sportfy Nou Camp Ronald Araujo kwa mkopo wa msimu mmoja lakini piaa kukiwa na option ya kumsajili mazima kwa dau la £50m
Liverpool Fans World View
Liverpool FC
Liverpool Fans,ug
Swahili news