Mk Talent's

Mk Talent's

Share

Lough every time

Photos from Mk Talent's post 31/05/2026

Ana sauti fulani hivi ya kimbingu anapokua ana solo πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ™πŸ™πŸ“–πŸ“–

30/05/2026

Tumekubaliana kwenye kikao cha mapenzi kua ex wa rafiki yako, ni ex wako pia ni marufuku kumtongoza wala kumuoa kwani kufanya hivyo ni kumdharirisha rafiki yako🫡🫡

29/05/2026

Zamani ukitummiwa haka ka sms ulikua unajiskia vizuri na haukafuti hata k**a umefoadiwa na mwanaume mwenzako au mwanamke mwenzako πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

27/05/2026

Usipojiongeza ukavaa suti ya mtumba, utakufa bila kuvaa suti, shauri Yako hapo nimevaa Tsh 9000/=
Juu mpaka chini πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

25/05/2026

Anaejua kichina atutafsirie

21/05/2026

Hiki ni kipaji kipya duniani πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£

19/05/2026

Ningekua chief judge ningempeleka mpaka finally πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

19/05/2026

Anaimba kihindi jamani tazama mpaka mwisho Part 7

19/05/2026

Anaimba kihindi jamani tazama mpaka mwisho Part 6

19/05/2026

Anaimba kihindi jamani tazama mpaka mwisho Part 5

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

Mwanza