Radon sport

Radon sport

Share

hot uptade sports

22/11/2024

🚨TRANSFER NEWS

Mabosi wa Yanga wameanza mikakati ya kuimarisha safu ya ushambuliaji katika dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa Disemba 15 mwaka huu ambapo jina la mshambuliaji Fahad Bayo ndio kipaumbele chao cha kwanza.

Bayo mwenye umri wa miaka 26, inaripotiwa kuwa ameshafanya mazungmzo na vigogo wa Yanga ambapo wamefikia pazuri huku kilichobaki kwa mchezaji huyo ni kusubiri dirisha dogo ili ajiunge nayo.

Uwezo wa kufunga ambao Bayo amekuwa nao unaonekana kuiridhisha Yanga ambayo ujio wa mshambuliaji huyo utasaidia safu yake ya ushambuliaji lakini pia kuwaongezea ushindani chanya washambuliaji waliopo kikosini ambao wanaonekana bado wanajitafuta.

Follow

22/11/2024

◼️Rodri: "Lionel Messi ni mchezaji bora wa muda wote, bila wasiwasi wowote. Cristiano alijaribu kupambana ili afikie ubora wa Messi bila ya kuwa na kipaji cha kuzaliwa nacho. Lakini kwa wote waliocheza dhidi yao wanaweza kuona tofauti. Tulikuwa hatuhitaji Cristiano aingie ndani ya boksi kwa sababu alikuwa hatari kwenye eneo hilo. Lakini hatari ya Messi ilikuwa kila sehemu ya uwanja.

Pindi Messi anapokuwa na mpira, unaweza kuhisi: ‘Oh kuna hatari.’ Pindi nilipocheza dhidi yake kwa mara ya kwanza, nilijaribu kuchukua mpira kutoka kwake, lakini nilishindwa kuchukua mpira. Hisia niliyokuwa nayo ilikuwa k**a kitu kibaya kilikuwa kinaenda kutokea.

Spain walipitia moja ya kipindi bora katika historia ya mpira wa miguu, na ilikuwa inashangaza kwamba tumeshinda Ballon d’Or moja tu, kuna wachezaji wengi sana ambao ni bora kuliko mimi lakini hawakushinda Ballon d’Or, kwa sababu waliishi kwenye wakati wa Messi na Cristiano.”

Via:radon sport

22/11/2024

◼️Cristiano Ronaldo amemuuliza Mr. Beast: Ulihisi kitu kipi pindi ulipoanzisha chaneli yako ya YouTube?

Mr. Beast: “Nilidhani utafikisha subscribers 20-30M katika mwezi wa kwanza tu baada ya kufungua chaneli yako, na pindi ulipofikisha subscriber 60M, nilisema, ‘Oh Mungu wangu, una subscribers wengi sana katika historia ya YouTube. Kabla yako, ilikuwa ni sisi.’”

22/11/2024

RUBEN AMORIM LEO KATIKA MAHOJIANO

KUHUSU USAJILI WA WACHEZAJI DIRISHA LIJALO

Rúben Amorim: "Ninapaswa kuelewa ligi, ni muhimu, na kisha, wakati kila kitu kimepangwa, wakati kila mtu yuko kwenye urefu sawa, tunaweza kununua na kuuza wachezaji."

🎙️ | Rúben Amorim kujiunga na Manchester United:

"Niite mjinga, lakini ninaamini kuwa mimi ndiye meneja anayefaa kwa wakati ufaao. Ninaamini kweli kuwa mimi ndiye mtu sahihi..."

🎙️ | Rúben Amorim aliulizwa k**a kazi ya Manchester United haitowezekana kufundisha:

"Hapana, bila shaka haikuwa hivyo."

🎙️ | Rúben Amorim kwenye kikosi chake cha Manchester United umekionaje:

"Ninapoanza wiki hii, unaweza kusema ni wiki moja tu na vipindi vitatu vya mafunzo, lakini viko wazi kwa mambo tofauti. Kitu pekee ninachowauliza ni kufanya kazi kwa bidii na kwamba unapaswa kuamini mawazo."

🎙️ | Rúben Amorim ikiwa mtazamo unakutana na ukweli katika Manchester United

"Ndio ni mkubwa zaidi. Kuna idara nyingi, tofauti sana na Sporting na Sporting ni kubwa nchini Ureno.

"Hii ni klabu ya kimataifa, sio kufundisha timu pekee. Nina msaada mwingi na mikutano mingi, ninaimarika."

🎙️ Ruben Amorim kuhusu kuchaguwa wachezaji:

"Nina jukumu kubwa tunapochagua wachezaji kwa sababu mimi ndiye meneja, mimi ndiye kocha mkuu. Lazima nichague wachezaji."

🎙️ Rubem Amorim: "Kila kocha anayekuja hapa anahitaji muda lakini tunakubali kwamba lazima tushinde michezo. Mna makocha wa aina tofauti na matokeo yale yale. Lakini tutajaribu kufanya hivyo kwa njia yetu na kwa Ineos. amini tyu.

🎙️Ruben Amorim: "Sijui itachukua muda gani lakini najua tunahitaji kushinda mechi katika Manchester United. Sitakuambia tunahitaji muda mwingi lakini tunahitaji kuimarika zaidi ili kushinda mataji."

🎙️ Ruben Amorim "Itabidi tushinde kitu mahali fulani lakini baada ya miaka miwili nadhani utaweza kuona ikiwa ni sawa kuendelea katika njia hii."

22/11/2024

🚨BREAKING: Fans are calling Casemiro a traitor after leaving Manchester United this January to join rivals!

He’ll become the most hated player after this! 😳

FULL STORY: https://shorturl.at/reilh

22/11/2024

✍️So Far Simba Ndiyo timu yenye alama nyingi NBC (25)
✍️ So Far Simba Ndiyo timu iliyo ruhusu goli chache NBC (3)
✍️ Baada ya kufungwa na Yanga Simba wameshinda mechi nne mfululizo,bila kuruhusu goli.
✍️Kwa kifupi Simba ndiyo timu yenye safu bora ya ushambuliaji na ulinzi.

Kesho ni Fadlu ball ndani ya Kirumba😄

usajili_na_hansrafael14

22/11/2024

🚨KWA TAFRANI LA JANA NILIJUA TU YULE MKUU WA MKOA HAWEZI KUWA NA MASRAHI NA PAMBA.

📌Mwenyewe akubali hilo hadharani.!

🗣️“Ahmed Ally amenikosea sana,anatumia umaarufu wake kunichafua,Mimi siyo kiongozi Wa kwanza kushabikia Yanga”

⏯️Mhe. Said Mtanda Via Crown Sports

22/11/2024

60% ya mpira wetu unachezwa uwanjani na 40% ni mambo ya nje ya uwanja.

Baada ya miaka 3 ya mateso Simba wamejua wapi wanakwama sasa hivi wanafanya uwekezaji ndani na nje ya uwanja.

Msimu huu Simba wanalinda uwanja na Wachezaji wao hivyo ukiingia kichwa kichwa lazıma wakunase…..ndiyo maana halisi ya Ubaya Ubwela😄

22/11/2024

WEST Ham na Newcastle zinapiga mahesabu ya kumsajili mshambuliaji wa PSG na Ufaransa, Randal Kolo Muani, ambaye anaweza kutolewa kwa mkopo wa muda mfupi ifikapo Januari mwakani.

Kolo Muani mwenye umri wa miaka 25, huduma yake pia inahitajika na Man United.

PSG ipo tayari kumwachia kwa sababu hayupo katika mipango yao kwa msimu huu.


22/11/2024

Kabla ya tukio la Penat,Ateba hakuwa na touches nyingi uwanjani Ila alihitaji sekunde moja kubadilisha taswira nzima ya mchezo.

Baada ya kuona Awesu na Ahoua,wameungana kwenye Channel ya kushoto,ateba ali-scan nafasi kwenye Six-yard Box Kisha kupokea pasi ya Awesu na kufanya turn ya kibabe na penat kupatikana.

Yes! Mwamba kaweka chuma ya tatu kwenye mechi Zake nane za ligi kuu.

Namba 9 k**a Ateba wanajua muda sahihi Wa kubadilisha ubao✍️

usajili_na_hansrafael14

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Mwanza
Mwanza