YANGA DAIMA

YANGA DAIMA

Share

Mchezo Ni Afya

04/08/2026

Kahama mmetisha sana leo asanteni wananchi Young Africans Sports Club

Please follow us YANGA DAIMA

04/08/2026

ENGINEER ATOBOA SIRI NAMNA ALIVYOMOATA PETER SHALULILE Young Africans Sports Club

Please follow us YANGA DAIMA

04/08/2026

Tazama mapokezi ya Peter Shalulile kutoka kwa Heris 💚💛 Young Africans Sports Club

Please follow us YANGA DAIMA

04/08/2026

UPDATES.....💛💚

“Nina rafiki yangu anacheza Simba SC, nilisikia mara kadhaa akinieleza kuhusu hisia za mchezo wa (Kariakoo) Derby, nikisikia kuhusu hiyo mechi vinyweleo vinanisimama”.

Peter Shalulile, akizungumza wakati wa Mapokezi yake Yanga.

04/08/2026

TAZAMA hapa balaa la ALLY kamwe kwenye utambulisho wa peter shalulile
Young Africans Sports Club

Please follow us YANGA DAIMA

04/08/2026

UPDATES......💚💛

Ni furaha sana kwangu,Ila najua nimefanya maamuzi sahihi ya kuja kucheza klabu hii Yanga,Nimemwamini Rais wa klabu hii kwa kuwa alinambia hii ni klabu kubwa.

Nilipigiwa simu na klabu nyingi sana kunihitaji lakini nimechagua Yanga kwasababu naamini tutakwenda kushinda mataji msimu huu mpya.Nipo hapa kutoa mchango wangu wote kwa kushirikiana na wachezaji wenzangu naimani tutashinda.

🗣Peter SHALULILE.

04/08/2026

THE G.O.A.T is here🔰

Please follow us YANGA DAIMA

02/08/2026

Please follow us YANGA DAIMA

RIPOTI YA MAPATO NA MATUMIZI 2025-2026.

Ifuatayo ni ripoti ya mapato na matumizi ndani ya Young Africans Sports Club msimu 2025-2026.

1;UDHAMINI NA HAKI ZA MATANGAZO 》》 B 12,200,515,125
2;MAPATO TA MLANGONI 》》BILIION 1,086,101,580
3;ADA ZA WANACHAMA 》》 BILIION 1,129,313,000
4;ZAWADI ZA USHINDI 》》 BILIION 2,837,436,400
5;MAPATO MENGINE 》》 BILIION 12,105,176,646

JUMLA NI BILLIONI 29,258,542,751

02/08/2026

Mapato ya Klabu ya Yanga kwa mwaka 2025/2026 ni Billion 29

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address

Mwanza