madayu_yanga1935

madayu_yanga1935

Share

1.HABARIKA KISOKA KUTOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA.🌍
2. FOOTBALL PUNDIT/MCHAMBUZI.⚽️
3. NEWS ANCHOR πŸ“°

23/11/2025

K**a mlivyosikia...

Mpaka waseme Logo ya CAF Wameitoa wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

**ashariki

23/11/2025

is

23/11/2025

Kikosi cha petro atico de luanda vs simba sc

23/11/2025

Kikosi cha simba Vs petro atico de luanda fc

22/11/2025

TUNAENDA LUNCH NA DINNER KIDOGO WAKITUJIBU MTUTAGI.... Haha55 😁😁😁😁

Asa mbona wachambuzi walikaza shingo na fuvuvu kuzichambua JEZI hizi?????.....

Note; Ni ngumu sana kuitetea simba sc katika hili....

**ashariki

22/11/2025

Imagine being prince DUBE

**ashariki

22/11/2025

🚩 𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„ : CAF Champions League

YOUNG AFRICANS SC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ 1οΈβƒ£βž–οΈ0️⃣ FAR RABAT πŸ‡²πŸ‡¦
⚽️ 58" Dube

πŸ”»

MAMELODI SUNDOWNS πŸ‡ΏπŸ‡¦ 3οΈβƒ£βž–οΈ1️⃣ FC LUPOPO πŸ‡¨πŸ‡©
⚽️ 04" Santos ⚽️44" Wanet
⚽️ 61" Allende
⚽️ 78" Santos

**ashariki

22/11/2025

HT: yanga 0-0 as far Rabat

22/11/2025

Kikosi cha Yangasc Vs as far Rabat

Photos from madayu_yanga1935's post 21/11/2025

HAKIKA WACHAMBUZI WA SOKA WALIO WENGI HAPA TANZANIA WANATUMIWA NA MAPACHA WA KARIAKOO K**A MACHAWA...... Haha55 😁😁😁😁

1. Juzi Yanga wamezindua JEZI zao zitΓ kazotumika 'lakini wachambuzi wengi sana wamezichambua hizo JEZI za YANGA na kuzi Disvalue kuwa hazina ubora na wamekopi kutoka JEZI za Timu ya Taifa ya Brazil mwaka 2004, wengine wakaenda mbali zaidi wazifananisha na mfuko wa NJANO wa sukari ya kagera sugar. (Wachambuzi wanailinda simba )

2. Jana simba wamezindua nao JEZI zao za kimataifa, kwa kuweka logo za ktk JEZI wanazotumia Ligi kuu Tanzania BARA .. lakini wachambuzi haohao walioponda ubora wa JEZI za YANGA ndo wanasifia JEZI za simba ambazo ni zile zile za ligikuu

3. Wengine wakaenda mbali zaidi wanazilinganisha JEZI mpya za YANGA Africans sc na zile za simba sc ambao hawajatoa jez mpya zaidi ya kubadili logo ya mdhamini na logo ya CAF. Bidhaa mpya inashindanishwaje ña Bidhaa kuku? Haha55 😁😁 (Wachambuzi wanatetea simba kutotoa JEZI mpya za )

4. Wengine wakaja na maandiko k**a GAZETI kwa kuelezea kuwa kampuni hizi; 1. Nike, 2. Puma 3. Adidas n.k huwa hazitoagi JEZI mara mbili ndani ya msimu (hapa wachambuzi wanatetea simbasc) Haha55 😁😁😁

5. Wengine wakasema wanawapa nafasi mashabiki wasiopenda uwepo wa logo ya udhamini wa PILSONER k**a KILEVI Kwene JEZI za simba sc za Ligi kuu Tanzania BARA ... Haha55 😁😁

6. Wengine vilabu vikubwa Duniani havitoagi JEZI JEZI mbili kwa msimu? But kwanini Barcelona wametambulisha JEZI mpya ya pili hapo juzi kati??? ... hizi agenda hazina mashiko sababu Timu zetu zinaongozwa na mapato yatokanayo na mauzo ya JEZI. ....... Haha55 😁😁😁

NOTE; WACHAMBUZI WANATUMIA NGUVU KUBWA KUITETEA SIMBA ILE HALI WAMEKOSEAAA..... ALINUKULIWA MSEMAJI WA SIMBA AHMED ALLY AKIWAAMBIA WANACHAMA NA MASHABIKI WA SIMBA WAAANDAE ORDER YA JEZI MPYA ZA

HONGERENI SANA WANANCHIIIIIIIIIIIII YANGA AFRICANS SC KWA KUZINDUA JEZÌ MPYA ZA

**ashariki

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

Mwanza