Sports weak

Sports weak

Share

Media/news

04/03/2026

Mzee wangu baba yangu wendo binadam pekee ulokuwaa ukinipa furaha duniani na kiburi umeondokaa kimy kimy paspo hata kuongea neno mzee wangu basi bwana mwenyezi mungu akufanyiee wepesi kaburin kwako baba Ila umeondokaa

Wakati ambao atukutarajia mzee wetu hatuna budi kukubli Ila najua mungu umeruhusu kwakuwa unajua nayaweza hayaa maana huwezi ukanipa jarbu kubwa hivi k**a siliwezi

Photos from Sports weak's post 01/03/2026

Maboresho ya ratiba NBC LEAGUE

01/03/2026

RATIBA LEO IPO HIV (01/03/26)

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ TANZANIA

20:30 Yanga SC ๐Ÿ†š Simba SC

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ SPANISH LALIGA

16:00 Elche ๐Ÿ†š Espanyol
18:15 Valencia ๐Ÿ†š Osasuna
20:30 Betis ๐Ÿ†š Sevilla
23:00 Girona ๐Ÿ†š Celta Vigo

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ ENGLAND PREMIER LEAGUE

17:00 Brighton ๐Ÿ†š Nottingham
17:00 Fulham ๐Ÿ†š Tottenham
17:00 Manchester Utd ๐Ÿ†š Crystal Palace
19:30 Arsenal ๐Ÿ†š Chelsea

๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท FRENCH LIGUE 1

16:00 Paris FC ๐Ÿ†š Nice
18:15 Lille ๐Ÿ†š Nantes
18:15 Lorient ๐Ÿ†š Auxerre
18:15 Metz ๐Ÿ†š Brest
21:45 Marseille ๐Ÿ†š Lyon

๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช GERMAN BUNDESLIGA

17:30 Stuttgart ๐Ÿ†š Wolfsburg
19:30 Eintracht Frankfurt ๐Ÿ†š Freiburg
21:30 Hamburger SV ๐Ÿ†š RB Leipzig

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น ITALIAN SERIE A

14:30 Cremonese ๐Ÿ†š AC Milan
16:00 Sassuolo ๐Ÿ†š Atalanta
20:00 Torino ๐Ÿ†š Lazio
22:45 AS Roma ๐Ÿ†š Juventus

๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ DUTCH EREDIVISIE

13:15 Zwolle ๐Ÿ†š Ajax
15:30 FC Volendam ๐Ÿ†š Groningen
15:30 Twente ๐Ÿ†š Feyenoord
17:45 Utrecht ๐Ÿ†š AZ Alkmaar
21:00 Excelsior ๐Ÿ†š G.A. Eagles

๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น AUSTRIAN BUNDESLIGA

17:00 Altach ๐Ÿ†š SK Rapid
17:00 Austria Vienna ๐Ÿ†š LASK
17:00 BW Linz ๐Ÿ†š Tirol
17:00 Grazer AK ๐Ÿ†š Ried
17:00 Salzburg ๐Ÿ†š Hartberg
17:00 Wolfsberger AC ๐Ÿ†š Sturm Graz

๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช BELGIAN PRO LEAGUE

14:30 Genk ๐Ÿ†š Gent
17:00 Westerlo ๐Ÿ†š Royale Union SG
19:30 Charleroi ๐Ÿ†š Club Brugge KV
20:15 Cercle Brugge KSV ๐Ÿ†š Dender

๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฟ AZERBAIJAN PREMIER LEAGUE

14:30 Turan Tovuz ๐Ÿ†š Imisli FK
17:00 Qarabag ๐Ÿ†š Sabah Baku

๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡พ CYPRUS LEAGUE

16:00 Chloraka ๐Ÿ†š Krasava
17:00 AEK Larnaca ๐Ÿ†š Ol. Nicosia
19:00 Aris ๐Ÿ†š Pafos

๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฌ BULGARIAN EFBET LEAGUE

17:15 Levski Sofia ๐Ÿ†š Lok. Sofia

๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฐ DENMARK SUPERLIGAEN

18:00 FC Copenhagen ๐Ÿ†š Randers FC
18:00 Fredericia ๐Ÿ†š Silkeborg
18:00 Midtjylland ๐Ÿ†š Brondby
18:00 Sonderjyske ๐Ÿ†š Odense
18:00 Vejle ๐Ÿ†š Aarhus
18:00 Viborg ๐Ÿ†š Nordsjaelland

๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ท CROATIAN HNL

16:00 Rijeka ๐Ÿ†š Lok. Zagreb
18:15 Din. Zagreb ๐Ÿ†š Gorica

๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช 2. BUNDESLIGA

13:30 Braunschweig ๐Ÿ†š Preussen Munster
13:30 Hertha Berlin ๐Ÿ†š Nurnberg
13:30 Magdeburg ๐Ÿ†š Karlsruher SC

๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น LIGA PORTUGAL

17:30 Tondela ๐Ÿ†š Santa Clara
20:00 Casa Pia ๐Ÿ†š Moreirense
22:30 Rio Ave ๐Ÿ†š Famalicao

๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ CZECH REP CHANCE LIGA

14:00 Karvina ๐Ÿ†š Slovacko
16:30 Zlin ๐Ÿ†š Plzen
19:30 Sigma Olomouc ๐Ÿ†š Bohemians

23/02/2026

Ali komweee

23/02/2026

MSIMAMO: Mtibwa Sugar bado wako โ€˜top 5โ€™

23/02/2026

WAPIGA FILIMBI MSHAWAJUA?

Maneno ya Kocha Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda akizungumza baada ya kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Yanga.

Mgunda amemtaja Abdallah Mwinyimkuu k**a ndiye mchezaji bora wa mchezo kwakuwa yeye ndiye aliyeamua matokeo yawe vile kwa kuwanyima penati ya kweli na kuwapa penati ya uongo Yanga.

Unakubaliana kwa asilimia ngapi na Kocha Juma Mgunda?

weak

23/02/2026

KALAMU YA LEO ๐Ÿ“ | TZ Prisons Vs Simba SC

3 POINTS โœ…! Clean Sheet ๐Ÿ”ฅ! 22 Points on Table โœ…! Mnyamaa anashinda mechi zake

TZ Prisons kwenye 4-4-2 / 5-4-1 mpango wao wa kuzuia ndio umewamaliza mbele ya Simba SC leo, walichagua kuzuia zaidi ila bado walipopata mpira hawakujua ni maeneo gani uende na wafanya nini! Hapa ndipo mpinzani wao alianzia kuwamaliza kwa sababu ya runners wengi alionao mstari wa juu

4-2-3-1 ya Simba build-up yao ilikuwa sahihi yenye muendelezo wenye mpangilio kupitia 2-3-4-1 yaani Kibabage & Kapombe wanapishana mstari wa pili au tatu then Chama, Loemba na Kagoma wanapita kati yao! Prisons hapa ndipo tatizo lilipoanzia kwao, Why?

1- Oura + Mwalimu + Gueye ile combination play yao ilivuruga sana back-line ya mpinzani wao na kuongeza hatari kwa M***a Mbisa! Muda mwingi Prisons wakawa hawakai kwenye shape yao sababu ya runners wengi wa Simba

2- Numerical Advantage: Simba hapa hata bila mpira walikuwa na wachezaji wengi kwenye nusu ya mpinzani wao(Kibabage + Kapombe waliongezeka karibu na 18 ya mpinzani wao, Prison ikakosa uhuru hata kwenye build-up)

2ND HALF! TZ Prisons ndio k**a walikuja kucheza na kupishana zaidi kisha Simba SC ikaamua kutulia na kuchagua nyakati ambazo zitafanya kuendelea kuushika mchezo hadi mwisho wa Dakika 90.

THIRD EYE. ๐Ÿ“

โ–ช๏ธŽ Prinsons kipindi cha pili wamezuia vizuri sana โœ…

โ–ช๏ธŽ Kagoma ๐Ÿ‘Š! Oura + Gueye + Doto ๐Ÿ”ฅ! Sabyanka + Kimenya + Toure ๐Ÿ’ช

โ–ช๏ธŽ Loemba that composure โœ…! Chama that simplicity ๐Ÿง ! Kapombe, great game today ๐Ÿ”ฅ

โ–ช๏ธŽ Kibabage โœ… kaamua kila siku kucheza mechi yake upande wake ๐Ÿ”ฅ

โ–ช๏ธŽ RUSHINE DE REUCK, Top Top Game ๐Ÿ™Œ! POTM no doubt ๐Ÿ”ฅ

NB:Machi 1 wanauliza mbona hafiki๐Ÿ˜ƒ

FT:TZ PRISONS 0-2 SIMBA SC.

Letโ€™s Goo!!.

23/02/2026

"Namungo walinyimwa penal=ti ya halali kabisa, penati ambayo ilionekana moja kwa moja kwamba hii ni penati, mchezaji wa Namunhgo alishikwa na wachezaji wa Yanga, akabanwa kuingia kwenye kumi na nane, akashindwa kupata nafasi ya kufunga bao, kwa maana alinyimwa nafasi ya kufunga bao na walinzi wa Yanga."


Follow weak

23/02/2026

Kiungo raia wa Senegal Mamadou Lamine Camara Mwenye Umri wa Miaka (23) rasmi jana ameanza safari mpya ya soka baada ya kusaini Mkataba wa miaka miwili na nusu na klabu ya nchini Libya Al Ahli Tripoli, ambao utamuweka klabuni hapo hadi Agosti 21, 2028.

Camara atalipwa mshahara wa dola milioni 1.2 kwa mwaka, sawa na zaidi ya (Shilingi Bilioni 3.08 za Kitanzania), kiwango kinachomfanya kuwa mchezaji wa pili anayelipwa fedha nyingi zaidi barani Afrika katika ligi za ndani.

Al Ahli Tripoli walilazimika kulipa dola milioni 2.8 (takribani Bilioni 7.18 Tsh) kuvunja kipengele cha mkataba wake kutoka klabu ya nchini Morocco RS Berkane.

Katika orodha ya wachezaji wanaolipwa fedha nyingi zaidi barani Afrika ndani ya ligi za nyumbani, Camara anashika nafasi ya pili nyuma ya nyota wa Misri Ramadan Sobhi, anayelipwa dola milioni 2.4 kwa mwaka sawa na Bilioni 6.16 za Kitanzania.

Klabu ya Al Ahli Tripoli ambao sasa wanaongeza nguvu katikati ya uwanja kwa kumpata kiungo mwenye uwezo mkubwa wa kukaba, kusambaza mipira na kuongoza mashambulizi.

weak

23/02/2026

Augustine Okejepha "Don Ok" kiungo wa zamani Simba SC amesaini miezi 6 klabu ya Welayta Dicha ya nchini Ethiopia.

Nyota huyo kabla ya kutua Ethiopia ametokea Iraq ambapo alikuwa anacheza Ligi kuu nchini humo.

Okejepha amesema atacheza kwa muda mfupi ili dirisha kubwa apate ofa nzuri zaidi.

Sports weak

23/02/2026

Ushindi wa jana haukuwa tu pointi tatu za kawaida ulikuwa ni ujumbe mzito kwa wapinzani wao Arsenal. Manchester City wameonyesha kwa mara nyingine kuwa wao ni timu inayojua kushinda katika nyakati muhimu zaidi za msimu.

Katika hatua hii ya ligi, kila mechi ni k**a fainali. Lakini tofauti kati ya mabingwa na washindani ni uwezo wa kubeba presha, kuamua mechi kwa utulivu, na kutumia makosa madogo ya wapinzani. Hilo ndilo City wamefanya jana wakionyesha uzoefu, nidhamu ya hali ya juu na falsafa ya ushindi iliyojengwa kwa miaka chini ya mwalimu wao.

Ushindi huu umeongeza imani ndani ya kikosi, umeongeza presha kwa wapinzani wao Arsenal, na umeimarisha nafasi yao juu ya msimamo. Hii si bahati ni matokeo ya mipango, kikosi kipana chenye ubora, na wachezaji wanaojua thamani ya kila dakika uwanjani.

City wana kitu kimoja kinachowatofautisha: mentaliti ya mabingwa. Wakiwa kwenye mbio za ubingwa, mara nyingi hawaangalii kelele za nje wanaangalia kazi yao tu. Wana kasi, wana uimara wa safu ya ulinzi, wana ubunifu katikati, na wana makali mbele ya lango. Huu ni mchanganyiko unaowapa nafasi kubwa ya kunyanyua kombe msimu huu.

K**a wataendelea na mwendo huu, wakidumisha nidhamu na njaa ya ushindi, basi njia yao kuelekea ubingwa inazidi kuwa wazi kwao. Ushindi wa jana unaweza kuwa turning point ya msimu ushindi unaoweza kukumbukwa k**a hatua muhimu kuelekea taji jingine.

# weak

23/02/2026

Nyota wa Tanzania Charles Mโ€™mombwa na timu yake ya Floriana FC wamepata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Hibernians kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Malta

mmombwa10

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Musoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address

Bunda
Musoma