21/04/2024
Raunds ya kwanza ya nusu fainali ya klabu bingwa Mamelod aangukia pua
Michezo ni afya na michezo ni ajira..
21/04/2024
Raunds ya kwanza ya nusu fainali ya klabu bingwa Mamelod aangukia pua
21/04/2024
BENCHIKHA: CV YANGU INAHARIBIKA
"Tangu nimeanza kufundisha mpira sikuwai kukutana na timu yenye wachezaji wagumu kuelewa k**a hii simba timu inacheza tofauti kabisa na matakwa yangu"
"Nitaongea tena na viongozi wangu k**a nitakubaliwa kuunda timu yangu upya msimu ujao ili niandae list yangu ya wachezaji nitakaoweza kuunda timu bora Africa ila k**a watashindwa kukubaliana na mimi basi watambue kuwa CV yangu sijaitengeza na pesa nashuka CV yangu kila kukicha naweza kufanya maamuzi sahihi"
My name is Castro Yanga New
20/04/2024
Kikosi kinachoanza dhidi ya Simba
31/07/2023
KUTOKA AVIC TOWN: Huyu ni Mshambuliaji mpya wa Yanga SC, Hafiz Konkoni 🇬🇭 ameanza kujifua na wananchi kwaajili ya msimu wa 2023/2024.
Unatarajia nini kutoka kwa mshambuliaji wa mabao?
25/07/2023
DEAL DONE✅
KAZE ➡️➡️ NAMUNGO
25/07/2023
HII IMEENDA.
🔥🔥
25/07/2023
🕸..WATAALAMU WA SHERIA WANASEMA...
Mwanasheria wa Yanga SC Simon Patrick kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika
"Kanuni ya 62 (4) - Kanuni za Ligi Kuu, Toleo la mwaka 2022 inasema;
“Mchezaji wa kigeni anayeruhusiwa kusajiliwa kwenye Ligi Kuu ni yule anayecheza katika timu ya Taifa ya nchi yake au Ligi Kuu ya nchi husika.
Mchezaji kutoka Amerika ya kusini na Ulaya, lazima awe anacheza angalau kuanzia Ligi Daraja la Tatu (Kitaifa, kutegemea mfumo kwa nchi husika).
Mazingatio ya Daraja mchezaji analocheza kabla ya usajili wake kwenye Ligi ni kwa wakati husika au kipindi kisichozidi miezi sita tokea ameachana na timu yake ya mwisho kwa mchezaji aliye huru” Mwisho wa kunukuu..
Sasa k**a mchezaji katoka kwenye Ligi ya Mkoa au Ligi daraja la 4 huko Amerika ya kusini, usajili wake utakuaje hapa nchini? Naombeni kuelimishwa😎".
25/07/2023
🕸..RASMI SAKHO ATUA UFARANSA..
Pape Ousmane Sakho, mchezaji wa kimataifa wa Senegal mwenye umri wa miaka 26, anajiunga na QRM hadi 2026! Akitokea Simba sports club 👋 !