Sport vibe

Sport vibe

Share

⚽ All About Football
πŸ”₯ News | Transfers | Analysis
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Tanzania Sports Hub

11/07/2026

🚨🚨 TAARIFA πŸ‘‡πŸ½

Mathew Tegisi (21) na Singida Black Stars DEAL LIMEKAMIKA

Pamba Jiji wameamuwa kumuuza mshambuliaji wao, Mathew Tegisi (21) kwenda Singida.

Tayari Tegisi amekubaliana kila kitu na Singida, kilichobaki ni Singida kulipa ada ya uhamisho ili dili likamilike.

Msimu ujao safu ya ushambuliaji ya Singida itaongozwa na Mathew Tegisi na Kitambala Bola πŸ™ŒπŸ½βœ”οΈ

DEAL DONE βœ…πŸ‘πŸ½

11/07/2026

Hebu ngoja tuweke rekodi zake sawa maana wachambuzi wanaikwepa

Msimu uliopita kocha mpya wa nyuma mwiko akiwa na golden arrows ya africa kusini kwenye michezo 30 ya ligi alifanikiwa kushinda michezo 11 akapata sare michezo 08 na akafungwa michezo 11 na timu yake ilifunga magoli 34 na ikaruhusu goli 33

Ni ngumu sana kumshauri mtu anaekaribia kutapeliwa

03/07/2026

03/07/2026

🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 π†πŽ : Simba Sports Club imefikia makubaliano ya kumsajili Kiungo Ibraheem Jabaar mwenye miaka 23 k**a mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba na Stellenbosch..

03/07/2026

Mpaka sasa timu hatari kwenye Kombe la Dunia ni Ufaransaβœ…

Mpaka sasa timu inayocheza KIBINGWA kwenye Kombe la Dunia ni UHISPANIA. βœ…

Mpaka sasa timu inayocheza ZERO PRESSURE ni Argentina βœ…

Mpaka sasa timu yenye 100% PRESSURE ni Ureno βœ…

Mpaka sasa timu yenye mpira usioeleweka eleweka ni Englandβœ…

Timu yenye mpira mkubwa bila kupigiwa kelele ni Morocco βœ…

Mpaka sasa timu underrated ni Mexico na USAβœ…

Mpaka sasa timu yenye mipango yake isiyojali ya watu ni MISRIβœ…

Bingwa!? UHISPANIA nampa nafasi kubwa zaidi

03/07/2026

DEAL βœ… Klabu ya Singida Black Stars inathibitisha kufikia makubaliano ya kumuuza mshambuliaji wetu, Mossi Nduwumwe, kwenda klabu ya Yanga kwa ada ya uhamisho wa Dola za Kimarekani 250,000 ($250,000).

BALAA JIPYA JANGWANI πŸ˜„πŸ™Œ

03/07/2026

TAARIFA KUTOKA CRDB Bank Plc
..
Breaking News πŸ“’ Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba mwali wetu πŸ† hayupo πŸ₯Ί eneo husika analotakiwa kuwepo. Mwali huyo mwenye urefu wa mita kadhaa kwenda hewani ana shape ya pembe za ndovu na Mlima Kilimanjaro akiwa amezungukwa na dhahabu. Mamlaka husika zinaendelea na zoezi la msako na yeyote atakayefanikiwa kumuona kuna zawadi nono kwa ajili yake.


03/07/2026

Akiwa stellenbosch aliweka rekodi mbili za kipekee sana ,

Ya kwanza msimu wa 2021-2022 na msimu wa 2024-2025 hii misimu yote miwili alishinda tuzo ya mchezaji bora kijana na ya pili kwenye kikosi cha stellenbosch ameacha rekodi ya kipekee kuwa mchezaji wa kwanza wa kigeni kucheza mechi nyingi zaidi (mechi 140)

Kwa sasa umri wake ni miaka 23 tu ni raia wa nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ na anamudu kucheza k**a kiungo mchezesha (CM)na kiungo mshambuliaji (AM)

Bad news ni kwamba kuna mchezaji atamvulia jezi na good news ni kwamba Msimu ujao huyu mwamba atavaa jezi ya Simba sports club

Anaitwa ibraheem jabaar πŸ¦πŸ‡³πŸ‡¬

03/07/2026

πŸ‡ͺπŸ‡Έ Pau Cubarsi’s career stats:

⚽️ 2 goals
🎯 8 assists
πŸ† 2x La Liga
πŸ† Copa del Rey
πŸ† 2x Supercopa
πŸ₯‡ Olympic Gold Medal

πŸ“Š Pau Cubarsi πŸ†š Austria:

πŸ›‘οΈ 8 defensive contributions
πŸ‘Ÿ 92% pass accuracy
😳 2 chances created
😬 2 tackles
🧹 5 clearances
πŸ”„ 2 recoveries
πŸ’ͺ 6 duels won
⭐️ 8.0 match rating

He has yet to concede a goal at the 2026 FIFA World Cup! 😳

03/07/2026

🚨 Reports from Mexico claim some journalists are planning to leak the England national team’s hotel location ahead of their Round of 16 clash at the 2026 World Cup.

The alleged aim is to allow fans to gather and disrupt the team’s preparations before the match.




Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mbeya?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Mbeya