Sport Vone Tv

Sport Vone Tv

Share

World wide sports events

18/07/2026

💣〽️‼️
Vigezo vitakavyotumika kuchagua mfungaji bora (Golden Boot) wa kombe la Dunia endapo wachezaji watamaliza mashindano wakiwa na idadi sawa ya mabao:

➡️Mchezaji mwenye assist nyingi zaidi ndiye atakayeshinda.

➡️Ikiwa idadi ya assist pia itakuwa sawa, mchezaji mwenye dakika chache zaidi alizocheza katika mashindano yote ndiye atakayekuwa na nafasi ya juu zaidi kutwaa kiatu cha dhahabu 🏆⚽

👉Kwa mtazamo wake ni mchezaji atachukua kiatu cha dhahabu?

18/07/2026

France vs England
who wins today?

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mbeya?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address

P. O. Box 303
Mbeya