02/09/2026
NEXT MATCH
MAJI MENGI VS SISI
Mechi ijayo tutakua kaitaba tukinunua Sukari kwa wingi..
Lazima mtueleze vizuri kwanini mnalima sana miwa lakini sukari haishuki bei...
In English
Next match we play against many water so be prepared nephew
゚viralシ
02/09/2026
Good morning wapwa zangu, mmeamka salama? Haya kuna mpya gani humu😏
01/09/2026
Yan leo sisi kuomba picha kwa shasha man mnatusema wakati walikuja Sevilla hapa mliomba mpaka miswaki yao😑
01/09/2026
KIJIWE CHA MASHABIKI
Karibu uulize maswali, maoni, ushauri, Masimango, Mashabiki wa Yanga msije jana mmenihukumu😭
01/09/2026
Kuna muda Ki Alipiga mshuti k**a kipa wetu kamchukua mobeto daaaaah jamaa mkatili sana😏
01/09/2026
Mnaosema katika timu yetu aliye serious ni dereva pekee kisa anatupeleka uwanjani kila mechi na kuturudisha mnatukosea jamani😭
01/09/2026
Jana muda k**a huu mlikamia mtasema mnacheza na Memelod, Ila timu ndogo😏
01/09/2026
No matter how difficult the challenges you face may be, life must go on.
In swahili
Timu tunayo na tunatamba nayo..
01/09/2026
Mwana kakuaaaa, aeeeeeeh kakuaa baaaabaaaaaàa
Mwana kakuaaaaa aeeeeeh, kakua mwananguu aeeeee...
Tumefurahi kumuona kijana wetu katika ardhi ya nyumbani..
In English
Welcome back chuga home always best wakikunyanyasa rudi
01/09/2026
Kila goti lilipigwa..
Hivi wananchi huyu kocha mmemtoa wapi, si Mara ya mwisho tumekutana mlikua na Roman foz au mmemuacha?😭
In English
My nephew from forest will beat 5 consecutive, it's true frog have good team
゚viralシ