Sam Yanga Sc1935

Sam Yanga Sc1935

Share

Young Africans

02/09/2026

๐Ÿ”ถ๐“๐”๐Œ๐„๐“๐”๐€ ๐Š๐–๐€ ๐Š๐ˆ๐๐€ ๐’๐‡๐€ ๐’๐‡๐€ ๐๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐๐ƒ๐„๐๐ˆ

๐Ÿ”นTumewasili katika Uwanja wa Ndege wa OR Tambo Johannesburg, Afrika Kusini,Kikosi kitapumzika hapa kwa muda kabla ya kuendelea na safari kuelekea Gaborone, Botswana๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ


02/09/2026

๐”๐๐”๐๐ˆ๐…๐” ๐–๐€ ๐•๐ˆ๐–๐€๐๐†๐Ž ๐•๐ˆ๐Š๐”๐๐–๐€

01/09/2026

๐Ÿ”ถ๐ˆ๐‹๐€ ๐Š๐€๐Œ๐–๐„ ๐€๐๐€ ๐Œ๐ƒ๐Ž๐Œ๐Ž ๐‡๐€๐ƒ๐ˆ ๐€๐๐€๐Š๐„๐‹๐€

๐Ÿ”นSeptember. Mwezi uliobeba safari yetu ya LIGI YA MABINGWA AFRIKA .. Mashindano ambayo ni Ndoto ya kila shabiki wa YANGA kuona Tukifanya Makubwa huko,Huu Msimu Uongozi umetupa Timu imara sana. Timu iliyosheheni Quality ya Wachezaji Bora katika kila eneo. Kilichobaki ni sisi WANANCHI Kunuia kwa sauti moja.. HUU NI MSIMU WA KUITIKISA AFRIKA

๐Ÿ”นYeeees.. Uzoefu Tushaupata wa kutosha. Timu Tunalo bora kweli kweli. Unyonge wa nini?? Hatuna Unyonge mwaka huu๐Ÿ‘Š๐Ÿผ Kuanzia sasa Kwenye Matawi yote ya YANGA Duniani Kote kuanza maandalizi ya CAF,Tuisapoti Timu yetu kwa Jasho letu Lote msimu huu. Hakuna cha kutuzuia Wanangu๐Ÿ‘Š๐Ÿผ

๐๐;Tunaanzia Ugenini In Shaa Allah na Uongozi unaangalia Utaratibu mzuri wa kuangalia Hii Game eneo moja kwa WANAYANGA watakaobaki Tanzania

โœ๏ธ๐‘จ๐‘ณ๐‘ณ๐’€ ๐‘ฒ๐‘จ๐‘ด๐‘พ๐‘ฌ

01/09/2026

๐Ÿ”ถ๐‹๐ˆ๐†๐ˆ ๐ˆ๐๐€๐Ž๐๐†๐Ž๐™๐–๐€ ๐Š๐ˆ๐’๐„๐‘๐€ ๐‡๐ˆ๐™๐ˆ ๐“๐€๐Š๐–๐ˆ๐Œ๐” ๐™๐€ ๐๐ˆ๐๐ˆ

๐Ÿ”นLigi ina misimu miwili haijawahi kutoa Tuzo za wachezaji mwisho mwa msimu halafu wanatupostia Ili iweje sasa,Wachezaji saivi wanacheza kwa ajili ya kukuza Profile zao lakini siyo kwa ajili ya Tuzo,Moja ya ligi inayoongozwa kiboya ni Tanzania,Ligi ya kenya wana Tuzo za msimu sisi hatuna halafu tunajiita tuna ligi bora wakati ni Bora ligi

๐๐;Itafikia kipindi hata bingwa wa ligi atakuwa hakabidhiwi kombe lake,baada ya ligi kuisha mnasubiria miezi kwa ajili ya ligi ya msimu mwingine

โœ๏ธ๐‘บ๐‘จ๐‘ด ๐’€๐‘จ๐‘ต๐‘ฎ๐‘จ

01/09/2026

๐Ÿ”ถ๐€๐๐€๐’๐‡๐€๐๐†๐€๐€ ๐‡๐”๐˜๐” ๐Š๐ˆ๐”๐Œ๐๐„ ๐€๐‹๐ˆ๐Š๐”๐–๐€ ๐–๐€๐๐ˆ

๐Ÿ”นShakulile baada ya kupewa Assist ya viwango ambayo toka aanze kucheza mpira hajawahi kupewa na mchezaji wowote ikabidi amuulize tu wewe kiumbe ulikuwa wapi siku zote maana huenda angekuwa na magoli hata 7 kwenye mechi hizi zote lakini ndo kwanza ana goli 3

๐๐;Ni ndogo ya kila Msambuliaji kucheza mbele ya Aziz Ki maana kufunga ni muda wowote tu unaweza pewa pass ambayo hata kuiyona hujawahi

โœ๏ธ๐‘บ๐‘จ๐‘ด ๐’€๐‘จ๐‘ต๐‘ฎ๐‘จ

31/08/2026

๐€๐’๐’๐ˆ๐’๐“ ๐˜๐€ ๐•๐ˆ๐–๐€๐๐†๐Ž,๐€๐™๐ˆ๐™ ๐Š๐ˆ๐Ÿ”ฅ

31/08/2026

๐Ÿ”ถ๐Œ๐€๐๐„๐๐Ž ๐˜๐Ž๐“๐„ ๐˜๐€๐‹๐„ ๐Œ๐€๐“๐Ž๐Š๐„๐Ž ๐˜๐€๐Š๐„ ๐๐ƒ๐Ž ๐‡๐€๐˜๐€

๐Ÿ”นKatika siku Chuga amekuwa na Mechi mbovu basi ni leo toka nimeanza kumjua na kumfatiria basi leo kacheza mechi mbovu sana tena dhidi ya timu aliyotoka sijajua nikukamia kwa sababu ndo alipotoka au ndo presha baada ya kusema hadharani maana leo kila anachofanya basi kinakuwa kibaya tu

๐Ÿ”นBinafsi me naamini huyu dogo bado ni mdogo anahitaji muda wa kutosha kuweza kufanya kile ambacho watu wengi wanakitarajia lakini kuanza kumsema saizi ni kumtia presha tu,Dogo anaingia timu ishapata matokeo lazima acheze kuonesha kile alicho nacho

๐๐;Apewe muda na nafasi ndo atajengeka lakini siyo kuanza kumsema mbona leo Sure boy alikuwa na Game mbovu na hamsemi

โœ๏ธ๐‘บ๐‘จ๐‘ด ๐’€๐‘จ๐‘ต๐‘ฎ๐‘จ

31/08/2026

๐Ÿ”ถ๐…๐ˆ๐…๐€ ๐๐Ž๐˜ ๐Š๐€๐‘๐”๐’๐‡๐€ ๐“๐€๐”๐‹๐Ž,๐–๐„๐๐†๐ˆ๐๐„ ๐–๐€๐๐€๐“๐„

๐Ÿ”นLion Messi amestaafu kucheza Timu ya Taifa ya Argentina,hii ameamua kutokana na maamuzi yake mwenyewe ikichangiwa na umri.mkubwa aliyo nawo lakini pia na mafanikio aliyowapa Argentina ikiwemo na makombe mengine

๐๐;Ni muda wa wachezaji wengine kujaribu kuleta mafanikio kwenye taifa kubwa k**a Argentina,Atakaye vaa jezi namba 10 kwa.Argentina ana kazi

โœ๏ธ๐‘บ๐‘จ๐‘ด ๐’€๐‘จ๐‘ต๐‘ฎ๐‘จ

31/08/2026

Chuma ya kwanza kwa Yanga na si mwingine ni Sha sha man

31/08/2026

๐Ÿ”ถ๐“๐€๐“๐ˆ๐™๐Ž ๐‡๐€๐Œ๐๐ˆ๐’๐ˆ๐Š๐ˆ๐‹๐ˆ๐™๐ˆ ๐๐€ ๐๐˜๐ˆ๐„ ๐๐ˆ ๐–๐€๐๐ˆ๐’๐‡๐ˆ

๐Ÿ”นJuzi baada ya kocha wa Young Africans Sports Club kusema Aziz Ki bado hajakaa kwenye mfumo kwa sababu amekosa Pree-season hivyo anaweza kukosa mechi zaidi ya mbili zijazo mimi nikaja nikapinga kwa kuwaambia kuwa ni ngumu mchezaji k**a Aziz Ki kukaa nje zaidi kisa tu hana Pree Season wengine mkatukana mkasema mimi siyo kocha kiko wapi

๐Ÿ”นKwenye mchezo wa leo Aziz Ki kaanza moja kwa moja siyo kwamba Kakaa benchi kaanza kwenye kikosi cha kwanza k**a nilivyosema,Kuna wacheza ubora wao hata achelewe vipi akija mechi moja mbili anacheza kwa sababu wachezaji wakubwa nje ya mfumo wa Kocha anaweza kukupa kitu kizuri kwa uwezo wake tu

๐Ÿ”นNikawatolea mfano kwa Shalulile kuwa hakuwa na Pree season lakini pia nikawaambia hadi nje uko wakina Rodri wote hawo kina Diamande pale Madrid leo mmeamini sasa kuwa mpira naujua na ndo maana nakuwa na jeuri ya kusema

โœ๏ธ๐‘บ๐‘จ๐‘ด ๐’€๐‘จ๐‘ต๐‘ฎ๐‘จ

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Korogwe?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address

Tanga
Korogwe