Karibuni sana kwa mahitaji ya Miche ya nyanya iliyotunzwa vizuri kitaalamu kwaajili ya Kilimo Bora Chenye Tija
Tunapatikana Moshi Kilimanjaro na mikoani tunaagiza kwa uaminifu mkubwa sana kwa njia ya bus π
Simu ziite
π 0744795652
π 0652330841
Kilimo Bora Chenye Tija
Hii page ni kwaajili ya Kujifunza kuhusu Kilimo Bora Cha mazao yote
Kupata mafunzo na darasa kuhusu mazao mbalimbaali ya bustani.
0744795652 | 0652330841
Karibuni sana kwa mahitaji ya Miche ya kitunguu
Tunapatikana Moshi Kilimanjaro na mikoani tunaagiza kwa uaminifu mkubwa sana kwa njia ya bus π
Simu ziite
π 0652330841
π 0744795652
30/06/2026
Karibu sana kwa mahitaji ya Mbolea ya maji ya Super Gro kwa bei ya kizalendo bei ya Dukani bila udalali Lita 5 utailipia 150,000/= nauli ni juu yangu mpaka mkoani kwako njoo inbox tufanye biashara au nichek Whatsapp number 0744795652 nitakupa na ushauri wa kitaalamu kuhusu kilimo Bure kabisa...
Tunapatikana Moshi Kilimanjaro na mikoani tunaagiza kwa uaminifu mkubwa sana kwa njia ya bus π
Simu ziite πβ¬οΈ
0744795652 | 0652330841
25/06/2026
Karibuni kwa mahitaji ya mbegu za Tikiti maji
Mbegu zenye ubora wa Hali ya juu sana
Sukari F1 na Jubilee F1
Tunapatikana Moshi Kilimanjaro na mikoani tunaagiza kwa uaminifu mkubwa sana kwa njia ya bus π
π 0744795652 & 0652330841
23/06/2026
Mbegu za tikiti za Sukari F1 ni mbegu Bora sana kwa kilimo Chenye Tija..
1. Inazalisha tikiti kubwa na lenye mvuto
2. Lina rangi nyekundu iliyokolea na Lina utamu sana ukiwa unakula
3. Linahimili maeneo yote ukanda wa juu na WA chini.
4. Ina kipato kikubwa sana zaidi ya tani 14 kwa Ekari Moja
Karibu sana kwa mahitaji ya mbegu hii nzuri sana ya tikiti... Tunapatikana Moshi Kilimanjaro na mikoani tunaagiza kwa uaminifu mkubwa sana kwa njia ya bus π
π 0744795652 & 0652330841
22/06/2026
Mbegu za kitunguu za Red Bombay kutoka Kibo Seeds π₯π₯π₯
Karibuni sana kwa mahitaji ya mbegu hii Bora sana...
Mbegu za kitunguu za Red Bombay kutoka Kibo seeds tunauza 120,000/= kwa 1Kg na Ekari 1 unatakiwa kuwa na 3Kg
Tupo Moshi Kilimanjaro na mikoani tunaagiza kwa uaminifu mkubwa sana kwa njia ya bus π
0744795652 | 0652330841
Usisahau kufollow account yetu kwaajili ya kuendelea kupata updates mbalimbali kuhusu kilimo
Karibuni sana kwa mahitaji ya Miche ya kitunguu...
Miche tunauza kwa kitalu, kwa bei nzuri sana na tunakuuzia Miche yenye ubora sana ambayo imehudumiwa vizuri sana..
Tunapatikana Moshi Kilimanjaro na mikoani tunaagiza kwa uaminifu mkubwa sana kwa njia ya bus π
Simu ziite
π 0652330841 & 0744795652
π± BIGROCK F1 β Nyanya Inayostawi Kwenye Hali Mbalimbali za Hewa! π±
Je, unatafuta mbegu ya nyanya inayoweza kufanya vizuri hata kwenye maeneo yenye joto kali?
β
BigRock F1 imeendelea kuonyesha matokeo bora katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo Dodoma, eneo linalojulikana kwa hali ya hewa ya joto. Wakulima wamefurahia:
π
Mavuno mengi na yenye ubora wa juu
π
Matunda makubwa, magumu na yanayovumilia usafirishaji
π
Ustahimilivu mzuri katika mazingira tofauti ya uzalishaji
π
Uwezo wa kufanya vizuri hata kwenye maeneo yenye joto kali
BigRock F1 β Chaguo sahihi kwa mkulima anayelenga mavuno yenye faida!
Kwa mahitaji ya mbegu Bora za nyanya za Big Rock F1
Tunapatikana Moshi Kilimanjaro & Arusha na mikoani tunaagiza kwa uaminifu mkubwa sana kwa njia ya bus π
π
0744795652 & 0652330841
Click here to claim your Sponsored Listing.