LASA BONGO MEDIA

LASA BONGO MEDIA

Share

Get Latest Digital Updates Based on Entertainment, Sports News & Social updates.

07/07/2026

Kilichowakuta Senegal ndicho kilichowakuta Misiri baada ya kuwa mbele kwa mgoli mawili mbele ya Argentina na Kuruhusu kile kilichotokea kwa senegal kitokee Dk Za Jion Inaganyika Comeback ya Nguvu na Kuwa 3-2 Na kuifanya Misiri Kuagaa Michuano ya kombe la Dunia Kwa Mwaka 2026.

07/07/2026

Dk za nyongeza Hali Mbaya Misiri 3 - 2.

07/07/2026

Azizi Ki Kwenye Ubora Wake Licha Ya Timu yake Katika Mchezo wa Hisani Kufungwa Bao 5 - 3 Mwamba Ameonyesha Perfomance Ya Hali Ya Juu Kwa Kufunga Bao 2 na Kutoa Assit 1 Kwa Maana Hito amehusika Kwenye Magoli yote Kwa Namna Moja Ama Nyingine.

07/07/2026

Inapoelekea Messi Atamfuata CR 7 na Kumuacha Misiri Kwenda hatua Inayofuata.

07/07/2026

Ngoma ngumu Penati ya Mesi Yachomolewa na mlinda Lango wa Misiti OUFA SHOIBEIR

07/07/2026

Dk Ya 15 Misri Anatangulia Kwa Bao Moja Mbele ya Argentina Ya Lionel Messi, Hii Ni Mapema Kusema Kuwa Misiri Taendelea Na Hatua Inayofuata Kutokana Na Kile Kilichotokea Kwa Congo na Senegal.

Goli la Kichwa la Mchazaji wa Misiri Ibrahimu Linawaweka Mbele Misiri Dhisi ya Argentina.

Je Lionel Messi atamfuata Cristiano Ronaldo ?

07/07/2026

Kiredio Ameshindwa Kuvunja Rekodi Ya Yanga Kwenye live Streaming Yake

07/07/2026

Marioo Alivyouwa Wimbo Wa Mombasa Siku ya Parade la Yanga

05/07/2026

RAISI WA YANGA AFUNGUKA UWANJA KUJENGWA JANGWANI

05/07/2026

Salaamu Za Pacome na Dube kwa Wananchi

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Kigoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Kasulu
Kigoma