Chekox Comedy

Chekox Comedy

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Chekox Comedy, Kigoma.

CHEKOX COMEDY 😂
Karibu kwenye dunia ya vichekesho, burudani na furaha isiyoisha! 🎭🔥
Hapa tunakuletea skits za kuchekesha, matukio ya kila siku kwa mtazamo wa kichekesho, na burudani za kukutoa stress.
🤣 Cheka zaidi, stress kidogo!
🎬 Follow page yetu

11/08/2026

🎨🔥 UNATAKA BIASHARA YAKO IONEKANE KITAALAMU?
Usipost tu… ilimladi JITANGAZE KWA UBORA! 🚀
Tunatengeneza DESIGN • THUMBNAILS • POSTERS zenye mvuto na ubora kwa ajili ya kukuongezea mwonekano mzuri kwenye mitandao ya kijamii. 📱💻
✅ YouTube Thumbnails
✅ Posters za biashara
✅ Posters za wasanii & nyimbo 🎵
✅ Posters za mechi & fixtures ⚽
✅ Birthday & Event Posters 🎉
✅ Facebook & Instagram Posts
✅ Logo Design 🎨
💰 Bei rafiki kuanzia TSh 3,000 tu!
📲 Wasiliana nasi: 0625 007 469
🔥 Kazi safi • Bei nafuu • Uwasilishaji kwa wakati
Usisubiri biashara yako ijulikane yenyewe—ITANGAZE! 🚀


🎬 YouTube Thumbnail — TSh 3,000
📢 Poster ya biashara — TSh 5,000
🎵 Poster ya wimbo/msanii — TSh 5,000
⚽ Poster ya mechi/fixture — TSh 5,000
🏪 Tangazo la duka/biashara — TSh 5,000
🎉 Poster ya birthday/event — TSh 5,000
📱 Facebook/Instagram post — TSh 3,000
🖼️ Logo rahisi — TSh 10,000

18/07/2026

NGOLO KANTE: Toka ameitwa katika timu ya taifa hajapewa nafasi ya kucheza sasa unaambiwa huko chuma inasoma 4:0 HT.🤣🤣🇹🇿🇸🇸🤝🇨🇩

18/07/2026

HUU UTABIRI UNAWEZA KUWA WAKWELI ETIII🤝🇹🇿🇸🇸💞💞🤣

12/07/2026

NA HII NDIYO CV YAKE🏆🏆🏆🏆🏆;

JINA KAMILI: Manqoba Brilliant Ferrimant Mangqithi
Tarehe ya kuzaliwa: 25 Aprili 1971
Uraia: Afrika Kusini
Kazi: Kocha wa mpira wa miguu
Leseni ya ukocha: UEFA A Licence �

HISTORIA YAKE:
Maritzburg City
Moja United
Highlanders
University of KwaZulu-Natal
Golden Arrows (2007–2010)
AmaZulu (2010–2011)
Chippa United (2012)
Golden Arrows (2012–2013)
Mamelodi Sundowns (2013–2024) akiwa msaidizi, kocha mwenza, na baadaye kocha mkuu
Golden Arrows (2025)
Young Africans (Yanga SC) – Ameteuliwa kuwa kocha mkuu mwezi Julai 2026. �

MAFANIKIO YAKE MAKUBWA:
Mara 5 bingwa wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini
Bingwa wa CAF Champions League (2016)
Bingwa wa CAF Super Cup (2017)
Bingwa wa Nedbank Cup
Bingwa wa MTN8 mara 2 �

21/06/2026

Kabila gani Lina ma giant🤣🤣🤣
Utacheka eti WAHA ni wababe🤣

21/06/2026

CHEKA NA CHEKOX COMEDY 🤣🤣

21/06/2026

CHAKA NA HII🤣 USIPITWE😭🤣🤣

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Kigoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Kigoma